Author: Jamhuri
Mchango wa sekta ya madini kufikia asilimia 10 pato la taifa
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Muelekeo wa Sekta ya Madini unalenga Katika kuhakikisha mchango wa sekta ya Madini Katika Pato la Taifa unafikia asilimia 10 na zaidi Ifikapo mwaka 2025 kama inavyofafafanuliwa Katika Dira ya Maendeleo ya Taifa ya Madini…
REA kusambaza mitungi ya gesi hadi vijijini
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma WakalaAm wa Nishati Vijijini (REA), umeanza kutekeleza Mradi wa kusambaza mitungi ya gesi ya kupikia kwa utaratibu wa utoaji ruzuku ambapo umewezesha usambazaji wa mitungi ya gesi ya kupikia (LPG) 71,000 yenye thamani ya shilingi…
Tume ya madini yaimarisha uwekezaji kwa kutoa leseni 9,642
Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO Katika Mwaka wa Fedha 2022/2023, Tume ya Madini imefanikiwa kutoa jumla ya leseni za uchimbaji madini 9,642 kati ya leseni 9,174 zilizopangwa kutolewa na tume hiyo kwa mwaka wa fedha uliopita. Takwimu hizo zimetolewa leo…