Author: Jamhuri
TMA: Ni muhimu wakulima wakapata taarifa sahihi msimu wa mvua za Vuli
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kibaha Msimu unaokuja wa mvua za Vuli Oktoba hadi Desemba ni miongoni mwa misimu muhimu ya kilimo katika baadhi ya maeneo hapa nchini, hivyo ni muhimu kwa wananchi na watumiaji kupata taarifa sahihi na kwa wakati…
Mwongozo kusimamia utaratibu upimaji shirikishi Dodoma waja
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi ipo katika hatua ya kukamilisha maandalizi ya Mwongozo wa kuratibu na kusimamia upangaji na upimaji shirikishi katika jiji la Dodoma utakaoweka utaratibu unaopaswa kuzingatiwa katika utekelezaji zoezi…
Serikali zz Mitaa yafurahishwa na Halmashauri ya Jiji Dodoma
Na. Dennis Gondwe, JamhuriMedia, Dodoma KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) imefurahishwa na Halmashauri ya Jiji la Dodoma kujenga hoteli kwa ajili ya kuongeza mapato na kutoa huduma bora kwa wananchi. Kauli hiyo ilitolewa…
VETA kuwafikia vijana kupitia kongamano la ajira
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma MAMLAKA ya Elimu na Mafunzo ya ufundi stadi(VETA)kwa kushirikiana na Shirika la ushirikiano wa kimataifa la Ujerumani (GIZ) Kupitia programu ya kukuza Ajira na ujuzi kwa Maendeleo Afrika (E4D), imeandaa kongamano la Ajira litakakofanyika Agosti…
STAMICO yaileza kamati ya Bunge leseni inazomiliki
Yaelekeza Mkakati wake wa kuendeleza Mgodi wa Makaa ya Mawe Vituo vya Mfano Vyatajwa kuongeza tija, wataka viongezwe uwezo Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) limeieleza Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini…
Bunge lataka tija uwekezaji soko la jipya la Kariakoo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kilimanjaro Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Denis Rondo amelitaka shirika la Masoko ya Kariakoo (KMC) kuhakikisha uwekezaji mkubwa uliofanywa na serikali kwa kutoa shilingi Bilioni 28.03…