JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Coast City yafana Kibaha

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, amesema Serikali kupitia wizara ya elimu itaangalia namna ya kuchangia maendeleo ya miundombinu ya Shule ya Msingi Pangani, Kibaha Mjini, mkoani Pwani. Akizungumza baada ya kushiriki…

TCAA yaibuka mshindi wa tatu kwenye Mamlaka za Udhibiti tuzo za NBAA

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam MAMLAKA ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), imeibuka mshindi wa tatu kwa upande wa Mamlaka za Udhibiti katika uandaaji wa Taarifa za Fedha ya Mwaka 2023 (Best Presented Financial Statements for the Year…

Maambukizi ya VVU yapungua nchini – Mhagama

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea Takwimu za hivi karibuni zinaonesha kupungua kwa maambukizi ya virusi vya Ukimwi (VVU )nchini Tanzania kutoka asilimia 7 mwaka 2003 /2004 hadi asilimia 4.4 mwaka 2022/2023 na kiwango cha maambukizi ya VVU kutoka kwa mama…

Kambi Tiba ya Madaktari wa Tanzania Comoro yaanza kwa kishindo

Na Mwandishi Wetu, Comoro KAMBI Tiba ya Madaktari Bingwa kutoka Tanzania nchini Comoro imeanza kwa mwitikio mkubwa wa wananchi wa nchini humo ambapo mamia wamejitokeza kupata huduma mbali mbali zinazotolewa kwa ushirikiano na madakatari wazawa katika Kisiwa cha Ngazidja. Madaktari…

Makabiliano yazuka kati ya raia wenye hasira na wapiganaji wa Wagner Bambari

Katika kikiji cha Bambari, katikati mwa Jamhuri ya Afrika ya Kati, msafara wa wanajeshi wa Urusi kutoka kundi la Wagner waliwashambulia kwa gari watu walipokuwa wakifanya mazoezi ya gwaride kwa ajili ya sikukuu ya kitaifa, Desemba 1. Wakiwa na hasira,…