JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Abdul Nondo adaiwa kutekwa katika Kituo cha Mabasi Magufuli

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mwenyekiti wa Ngome ya vijana ya chama cha ACT Wazalendo, Abdul Nondo amedaiwa kutekwa na watu wasiojulikana akitokea mkoani Kigoma alikokuwa na viongozi wengine wa kitaifa wa chama hicho, walioongoza kampeni kwenye mikoa…

Wamiliki ghorofa Kariakoo wakabiliwa na mashitaka 31

Na Mwandishi Wetu Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewapandisha kizimbani wafanyabiashara watatu wanaodaiwa ni wamiliki wa jengo lililoporoka Kariakoo, wakikabiliwa na mashitaka 31 ya kuua bila kukusudia. Washitakiwa hao ni mkazi wa Mbezi Beach na mfanyabiashara, Leondela Mdete (49), mkazi…

Samia apigania ajira na nishati safi EAC

RAIS Samia Suluhu Hassan, amesisitiza juu ya umuhimu wa juhudi za pamoja katika kukuza matumizi ya nishati safi ya kupikia na ajira kwa vijana ili kuhakikisha ustawi wa watu wa kanda hiyo. Rais Samia amesema hayo Arusha wakati wa maadhimisho…

Biashara kati ya Tanzania na China yafikia dola bil.8.78 – Majaliwa

Asema Rais Dkt. Samia anathamini mchango wa China kwenye maendeleo nchini WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa uhusiano wa kibiashara kati ya Tanzania na China umeendelea kukua ambapo mwaka 2023 biashara kati ya nchi hizo ilifikia dola bilioni 8.78. Amesema…