JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Biden amsamehe mwanawe Hunter mashtaka ya jinai

Rais wa Marekani Joe Biden amempa mwanawe Hunter Biden msamaha wa rais na kumuepushia kifungo jela kutokana na makosa ya umiliki wa bunduki kinyume cha sheria na madai ya kukwepa kulipa kodi. Kwa hatua hiyo, Rais Biden amekwenda kinyume na…

Trump ayaonya mataifa ya BRICS dhidi ya kutafuta mbadala wa dola

Rais mteule wa Marekani Donald Trump ametishia kutoza ushuru wa asilimia 100 kwa muungano wa mataifa tisa wa BRICS iwapo yataunda sarafu pinzani dhidi ya dola ya Marekani. “Wazo kwamba Nchi za BRICS zinajaribu kujiepusha na Dola huku sisi tukiwa…

Abdul Nondo apatikana Coco Beach baada ya kutelekezwa

Mahmudu Abdul Nondo, mwanaharakati na kiongozi wa ACT Wazalendo, aliripotiwa kupatikana kwenye fukwe za Koko Beach jijini Dar es Salaam mnamo Desemba 1, 2024, baada ya kutoweka kwa siku kadhaa. Nondo alikuwa ameripotiwa kutekwa awali, hali iliyozua taharuki na mjadala…

Viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki waijadili DRC

Viongozi wakuu wa nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki wamefanya juhudi kwa mara nyingine za kujaribu kuuleta amani mashariki mwa Kongo. Viongozi hao waliokutana Jumamosi bado walishindwa kupiga hatua kufuatia kutokuwepo kwa rais wa Jamhuri ya Kidemorasia ya Kongo na…

Israel yafanikiwa kulizuia kombora kutoka Yemen

Mamlaka ya ulinzi wa anga ya Israel imesema imefanikiwa kulizuia kombora ambalo limefyatuliwa kutoka Yemen. Asubuhi ya mapema ya jana ving’ora vya mashambulizi ya anga vilisikika karibu na Tel Aviv na katika maeneo mengine. Tovuti ya habari ya Israel ynet…