Author: Jamhuri
Mkoa wa Pwani kuwakutanisha wawekezaji na wafanyabiashara Desemba 16 – 20
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani MKOA wa Pwani unatarajia kukutanisha wafanyabiashara, wawekezaji na wajasiriamali kwenye Maonyesho ya Biashara ya awamu ya nne yatakayofanyika Desemba 16 hadi 20, 2024, katika viwanja vya Mailmoja, Stendi ya zamani, Kibaha. Maonyesho hayo yatafunguliwa rasmi…
Mkurugenzi TPA ashiriki miaka 50 tangu kuanzishwa kwa PMAESA
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salam Mkurugenzi wa Masoko na Uhusiano wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Dkt. George Fasha, kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu, tarehe 30 Novemba 2024, ameshiriki katika sherehe za maadhimisho ya miaka 50…
Wanawake Nyamagana wapata majiko kupitia Kampeni ya Siku 16 dhidi ya Ukatili wa Kijinsia ya Barrick na washirika wake
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Nyamagana Wanawake Nyamagana wapata majiko ya Nishati safi kupitia kampeni ya siku 16 dhidi ya ukatili wa kijinsia ya Barrick na washirika wake. Ukiwa ni mwendelezo wa kushiriki kampeni ya siku 16 dhidi ya vitendo vya…
Shirika la Abilis Foundation kufadhili mradi wa kuimarisha uongozi kwa wenye ulemavu
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Shirika la Abilis Foundation lenye makao yake makuu nchini Ufaransa limefadhili Mradi wa Kuimarisha Uongozi kwa Watu Wenye Ulemavu utakaotekelezwa na Taasisi ya Foundation for Disabilities Hope inayoendesha shughuli zake Dodoma. Hayo yameelezwa Jijini Dodoma na Mkurugenzi…