Author: Jamhuri
Uturuki: Kiini cha vurugu za Syria si ‘uingiliaji wa kigeni’
Uturuki yasema itakuwa kosa kujaribu kueleza kuwa matukio ya Syria yametokana na uingiliaji wa mataifa ya kigeni. Uturuki, ambayo inaunga mkono makundi ya waasi nchini Syria, imetupilia mbali wazo lolote la kwamba vurugu za kaskazini mwa Syria zimetokana na uingiliaji…
Israel yaishambulia Lebanon huku Hezbollah ikilenga kituo cha kijeshi
Israel imesema ililenga shabaha nchini Lebanon Jumatatu jioni baada ya kuapa kulipiza kisasi kwa shambulio la Hezbollah kwenye kituo cha kijeshi, huku pande zote mbili zikilaumiana kwa kukiuka usitishaji vita wa wiki iliyopita. Takriban watu tisa waliuawa na mashambulizi ya…
Abdul Nondo : Nikizungumza kilichotokea nitauliwa
Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo Abdul Nondo amedai kuwa ametishiwa kuuawa endapo atasimulia kilichotokea baada ya kutekwa na wateaji “Ukitoka hapa nenda moja kwa moja nyumbani kwako. Tunapajua vizuri na usizungumze kokote juu ya kilichotokea, pia tusikuone…
UN: Hali ya Gaza ni ya kutisha na ni janga kubwa
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa wito wa kusitisha mapigano kati ya Israel na kundi la Hamas akisema hali ya Gaza ni ya kutisha na janga kubwa ambalo ulimwengu hauwezi kuendelea kupuuza. Kauli ya Guterres ilitolewa katika…
Madiwani Kenya watembelea TARI Tengeru kujifunza kilimo
Madiwani kutoka kaunti ya Eligeyo-Marakwet nchini Kenya wametembelea Kituo cha Utafiti wa Kilimo cha TARI Tengeru kilichopo Arusha kwa lengo la kujifunza shughuli zinazofanywa kituoni hapo ili kuweza kushauri Serikali nchini kwao kutokana na uzoefu wa kazi zinazofanyika nchini Tanzania. …
Wananchi washauriwa kuchangamkia fursa ya uwepo wa kambi ya madaktari bingwa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Njombe Madaktari Bingwa na Bingwa Bobezi wapatao 32 wamewasili mkoani Njombe kwa kambi ya Siku tano (5) iliyoanza leo Desemba 2 hadi Desemba 6, 2024 katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Njombe. Akizungumza katika hafla…