JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Tanzania yaomba ushirikiano kukabili ukame

Serikali ya Tanzania imetoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kushirikiana kwa pamoja katika kulinda mifumo ikolojia ya dunia dhidi ya ukame ambao umeleta tishio kwa mazingira. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe….

Dk Biteko ataka watafiti, wabunifu ndani ya nchi watambuliwe kuleta maendeleo

📌 Azindua Kongamano la 9 Sayansi, Teknolojiana Ubunifu 📌 Asema Watafiti waendelezwe, wasivunjwe moyo 📌 Azindua Mfuko wa mikopo nafuu “SAMIA FUND” 📌 Norway Yaahidi kuendelea kufadhili utafiti wenye tija Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati…

Uturuki: Kiini cha vurugu za Syria si ‘uingiliaji wa kigeni’

Uturuki yasema itakuwa kosa kujaribu kueleza kuwa matukio ya Syria yametokana na uingiliaji wa mataifa ya kigeni. Uturuki, ambayo inaunga mkono makundi ya waasi nchini Syria, imetupilia mbali wazo lolote la kwamba vurugu za kaskazini mwa Syria zimetokana na uingiliaji…

Israel yaishambulia Lebanon huku Hezbollah ikilenga kituo cha kijeshi

Israel imesema ililenga shabaha nchini Lebanon Jumatatu jioni baada ya kuapa kulipiza kisasi kwa shambulio la Hezbollah kwenye kituo cha kijeshi, huku pande zote mbili zikilaumiana kwa kukiuka usitishaji vita wa wiki iliyopita. Takriban watu tisa waliuawa na mashambulizi ya…

Abdul Nondo : Nikizungumza kilichotokea nitauliwa

Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo Abdul Nondo amedai kuwa ametishiwa kuuawa endapo atasimulia kilichotokea baada ya kutekwa na wateaji “Ukitoka hapa nenda moja kwa moja nyumbani kwako. Tunapajua vizuri na usizungumze kokote juu ya kilichotokea, pia tusikuone…

UN: Hali ya Gaza ni ya kutisha na ni janga kubwa

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa wito wa kusitisha mapigano kati ya Israel na kundi la Hamas akisema hali ya Gaza ni ya kutisha na janga kubwa ambalo ulimwengu hauwezi kuendelea kupuuza. Kauli ya Guterres ilitolewa katika…