Author: Jamhuri
Mkutano wa kikanda wa matumizi bora ya nishati waanza kwa mafanikio Arusha
📌Magari yanayotumia umeme yawa kivutio 📌Wadau waonesha vifaa vinavyotumia umeme kidogo kwa gharama ndogo* 📌Dkt. Mataragio asema Matumizi Bora ya Nishati yanalenga kupunguza uzalishaji hewa ya ukaa Mkutano wa Kikanda wa Matumizi Bora ya Nishati unaojumuisha Viongozi na Wadau mbalimbali…
Mawakili kesi ya wanandoa Dar wakwamisha kesi kuendelea
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam MAWAKILI wa utetezi katika kesi ya tuhuma za kujeruhi na kutoa lugha ya matusi inayomkabili wanandoa Bharat Nathwan (57) na Sangita Bharat (54) wamendelea kuchelewesha kesi hiyo kwa kutokufika mahakamani bila kuwasilisha vielelezo…
KEDA (T) Co. Ltd yagusa jamii kujenga daraja Mbezi Msorwa – Shungubweni
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Kiwanda cha KEDA (T) Ceramic Co. Ltd kimekamilisha ujenzi wa daraja katika Mto Msorwa, barabara ya Mbezi-Msorwa-Shungubweni-Boza, lililogharimu milioni 150 ili kuunganisha maeneo hayo. Mradi huo umetokana na mpango wa Kiwanda cha KEDA wa kurudisha…
Rais Dk Mwinyi ashiriki maadhimisho ya Siku ya Mji Mkongwe
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi ameiagiza Mamlaka ya Mji Mkongwe kuifunika mitaro yote iliyowazi kwenye mji huo ili kuepusha maradhi na ajali kwa wananchi na wageni wanaoutembelea mji huo. Dk. Mwinyi amesema…
Chana akabidhi malori, mitambo kuboresha uhifadhi
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Balozi, Dk Pindi Chana amekabidhi malori matano na mitambo mitano mitano yenye thamani ya Sh bilioni 6.4 za Kitanzania viliyonunuliwa kupitia mradi wa Dharura kwa Uhifadhi na Utalii Tanzania kupitia Benki ya Maendeleo ya Ujerumani (KfW)….
Chuo cha VETA chaja na ufumbuzi za changamoto za jamii
Na Magrethy Katengu, JamhuriMedia, Dar es Salaam CHUO cha Ufundi Stadi VETA Dar es Salaam kimeendelea na kutoa mafunzo kwa vitendo na ubunifu zaidi ili kuleta ufumbuzi wa changamoto zinazoikabili jamii ikiwemo malaria fangasi Akizungumza leo Desemba 2, 2024 jijini…