Author: Jamhuri
Kanyankole : Punguzo kwa abiria linagharamiwa kikamilifu na Bolt
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam JUKWAA linaloongoza katika huduma za usafiri wa mtandaoni, linathibitisha rasmi kwamba punguzo linalotolewa kwa abiria linagharamiwa kikamilifu na Bolt. Taarifa hiyo inakuja wakati ambapo kuna dhana potofu kuhusu punguzo la safari zinazotolewa kwa…
Urusi na Ukraine zaendelea kushambuliana
Mashambulizi ya makombora na droni yamesababisha vifo vya watu watatu katika eneo linalokaliwa na Urusi katika mkoa wa Kherson. Shirika la habari la Urusi RIA limesema watu hao ni mwanamke na mtoto mmoja ambao waliuawa baada ya gari la wagonjwa kushambuliwa…
Mzozo wa Ukraine; Viongozi wa Ulaya wafanya ziara Marekani
Viongozi mbalimbali wa Ulaya wamefanya ziara nchini Marekani wiki hii ili kujaribu kuutafutia suluhu mzozo kati ya Urusi na Ukraine ambazo zimeendelea kushambuliana vikali. Baada ya Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron, jana ilikuwa zamu ya Waziri Mkuu wa Uingereza Keir…
KIOO Limited yaleta tabasamu kwa wanafunzi Mkuranga
…..Wajenga madarasa, kisima cha maji na kukarabati mabweni Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Pwani KAMPUNI ya Kutengeneza chupa za glasi ya KIOO Limited imefanikiwa kukarabati mabweni ya shule ya sekondari Vianzi iliyoko Mkuranga Mkoa Pwani hivyo, kuchimba kisima cha maji na…
Heshima kubwa kwa Mkoa wa Pwani, Mwenge wa Uhuru kuwashwa Aprili 2 Kibaha – Kunenge
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Mkoa wa Pwani umepokea kwa heshima kubwa kuteuliwa kuwa mwenyeji wa uzinduzi wa Mwenge wa Uhuru kitaifa kwa mwaka 2025, utakaofanyika tarehe 2 Aprili, 2025, katika Viwanja vya Shirika la Elimu Kibaha. Huo ni utambuzi…