JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Serikali za mitaa hivi, uchaguzi mkuu je?

Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Dar es Salaam Novemba 27, 2024 Tanzania ilifanya uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepata ushindi asilimia 99 na zaidi. Nimejaribu kufuatilia nini kimetokea? Nimebaki na maswali mengi. Yapo maeneo unatajiwa unaona harufu…

Umeme ni ajenda kubwa ya Serikali, tutafikisha umeme kwenye maeneo yote – Kapinga

📌 Akagua utekelezaji wa miradi ya umeme wilayani Monduli 📌 Asema fedha za miradi ya umeme zitasimamiwa ipasavyo kutekeleza ajenda ya umeme kwa wote 📌 Ampongeza Dkt.Samia kwa hatua kubwa iliyopigwa umeme vijijini Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga,…

Rais Korea Kusini atangaza hali ya hatari, jeshi lasimamisha shughuli za bunge

Rais wa Korea Kusini, Yoon Suk Yeol, ametangaza hali ya hatari muda mfupi uliopita, katika hotuba ya usiku wa manane. Amesema hatua hiyo ni muhimu ili kuilinda nchi kutokana na vikundi vya kikomunisti vya Korea Kaskazini na kuwaondoa watu wanaoipinga…

Waziri Mkuu ashiriki mazishi ya Dk Ndungulile

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Desemba 03, 2024 ameshiriki mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika, Dkt. Faustine Ndugulile yaliyofanyika eneo la  Mwongozo, Kigamboni Jijini Dar es Salaam….

Askari watatu wa hifadhi za misitu mbaroni kwa kuua mtoto

Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Tabora JESHI la Polisi mkoani Tabora linawashikilia watu saba wakiwemo askari watatu wa Hifadhi za Misitu (TFS) na mgambo wanne baada ya kusababisha kifo cha mtoto mwenye umri wa miaka 4 na kujeruhi mtu mmoja kwa…

Milioni 300 kufikisha umeme shule ya Lucas Mhina Monduli

📌Serikali kufikisha umeme vitongoji vilivyobaki 📌Asisitiza Serikali inatambua mchango wa wadau wa maendeleo 📍Monduli Arusha Serikali imeahidi kufikisha umeme katika Shule ya Msingi ya Lucas Mhina ili wanafunzi na wanakijiji wapate nishati ya umeme itakayowawezesha kuendelea na shughuli za kiuchumi…