Author: Jamhuri
Polisi yawanasa wanne kwa tuhuma za jaribio la kumteka Tarimo
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefanikiwa kukamata kundi la wahalifu wanane wanaotuhumiwa kula njama kwa pamoja na baadae kufanya tukio la kumteka mfanyabiashara, Deogratius Tarimo. Novemba 11, 2024 eneo…
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi awavisha nishani askari JWTZ Tanga
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Tanzania Jenerali Jacob John Mkunda kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan amewavisha nishani mbalimbali Majenerali, Maafisa na Askari wa…
Tanzania yapendekeza miradi ya mazingira
TANZANIA imekabidhi mapendekezo ya maandiko ya mradi 3, kwa ajili ya kuombea fedha kutoka katika Mfuko wa Hasara na Upotevu unaosababishwa na Athari za Mabadiliko ya Tabianchi. Hayo yamejiri wakati Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais, Christina…
Anne Makinda kuwatunuku wahitimu 264 HKMU
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAHITIMU 264 wa Chuo Kikuu cha Hubert Kairuki (HKMU) wanatarajiwa kutunukiwa shahada zao wakiwemo 115 wa binadamu wakati wa mahafali ya 22 siku ya Jumamosi. Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar…
REA yaupamba mkutano wa kikanda wa Nishati Bora 2024
đź“ŚMatumizi bora ya nishati ya kupikia kupewa kipaumbele đź“ŚElimu ya utunzaji wa miundombinu ya umeme yatolewa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) unashiriki katika Mkutano wa Kikanda wa Matumizi Bora ya Nishati 2024 unaofanyika jijini Arusha ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa…