Author: Jamhuri
Korea Kusini: Maafisa wakuu wa kijeshi wapigwa marufuku kuondoka nchini
Wizara ya ulinzi ya Korea Kusini imewasimamisha kazi kamanda wa Kikosi Maalum Kwak Jong-keun, kamanda wa Ulinzi wa Ikulu Lee Jin-woo na kamanda mkuu wa ujasusi Yeo In-hyeong kwa kuhusika katika kutekeleza agizo la sheria ya kijeshi Jumanne usiku. Waendesha…
Wakandarasi wazembe, wanaochelewesha miradi wabanwe -RC Kunenge
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, ameitaka Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Pwani kuchukua hatua za kisheria dhidi ya wakandarasi wanaokiuka mikataba ya ujenzi kwa kuchelewesha miradi. Kunenge alitoa agizo hilo ,wakati…
Muleba mwenyeji Tamasha la Boxing Desemba 26
Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Tamasha maarufu la mchezo wa ngumi ambalo hufanyika kila disemba 26 ya mwaka husika katika miaka ya karibuni lijulikanalo kama Boxing Derby linatarajiwa kufanyika mwaka huu wilayani Muleba mkoani Kagera. Tamasha hilo ambalo…
Madaktari wa Tanzania wahitimisha kambi tiba Comoro kwa ufanisi mkubwa
Na Mwandishi Wetu MADAKTARI tari wa Tanzania wamerejea nchini baada ya kuhitimisha Kambi tiba nchini Comoro kwa kutoa huduma kwa wagonjwa 2,770 na kufanya upasuaji kwa wagonjwa saba. Kwenye kambi hiyo ya siku saba wameweza kubaini wagonjwa takriban 269 wanahitaji…
Wakazi 359, 577 Kaliua wapata maji safi na salama
Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Kaliua WAKAZI 359,577 wanaoishi katika vitongoji, vijiji na kata mbalimbali Wilayani Kaliua Mkoani Tabora wamenufaika na miradi ya maji iliyotekelezwa na serikali kupitia Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA). Hayo yamebainishwa jana na…
Rais wa Korea Kusini Yoon atakiwa kujiuzuku kwenye chama chake
Rais Yoon Suk Yeol wa Korea Kusini ambaye alitangaza sheria ya kijeshi ametakiwa kuondoka kwenye chama chake cha People’s Power Party. Kiongozi wa chama hicho Han Dong-hoon aliwaambia waandishi wa habari “amemtaka rais huyo kujiuzulu” kutoka kwa chama. Hata hivyo…