JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Furahika chaanzisha kozi ya kufundisha wasichana ukondakta kwenye mabasi

u Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam CHUO cha Ufundi Stadi cha Furahika, kimeanzisha program mpya ya kuwafundisha watoto wa kike masuala ya ukondakta kwenye mabasi. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Mkuu wa Chuo hicho,…

Serikali bega kwa bega na wafanyabiashara kutatua changamoto zao

📌 Rais Samia Apongezwa Kuifungua Nchi Kiuchumi 📌 Dkt. Biteko Awahimiza Wafanyabiashara Kulipa Kodi Kwa Maendeleo ya Nchi 📌 TCCIA Yaendelea Kuwa Daraja la Wafanyabiashara wa Tanzania, Yafungua Ofisi China, London na Uturuki 📌Serikali Yapongezwa Kwa Kuwekeza Kwenye Miundombinu Na…

Majiko ya gesi 19,530 kusambazwa kwa bei ya ruzuku Kilimanjaro

📌Kila wilaya kupata majiko 3,255 📌Kilimanjaro wamshukuru Rais Samia Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kilimanjaro Wakala wa Nishati Vijijini (REA) unatarajia kusambaza jumla ya majiko ya gesi (LPG) ya kilo sita 19,530 yanayotolewa kwa bei ya ruzuku ya 50% Mkoani Kilimanjaro…

HOMSO yakabidhi mashine za kusaidia kupumua watoto wachanga zenye thamani ya milioni 10.5

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea Taasisi ya Wiloses Foundation imekabidhi mashine mbili zenye thamani ya sh. Milioni 10.5 katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa Songea (HOMSO) ambazo zitasaidia watoto wachanga na wanaozaliwa kabla ya wakati (Njiti) kusaidia kupumua na kurekebisha…

Serikali kuzindua rasimu ya kwanza ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 Desemba 11, 2024

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali inatarajia kuzindua rasimu ya kwanza ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, Desemba 11, 2024 katika Hoteli ya Golden Tulip, Zanzibar. Hayo yalisemwa Ijumaa, Desemba 6, 2024 na Waziri wa Nchi, Ofisi…

Rostam Aziz: Sijatoka mbinguni, tunalo jukumu la kuwasaidia Watanzania kujifunza ujuzi wa biashara

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mfanyabiashara mashuhuri wa Kitanzania, Rostam Aziz, ameibua mjadala muhimu kuhusu uwezeshaji wa wafanyabiashara wadogo kwa kutoa wito wa kuanzishwa kwa semina mikoani ili kuwafundisha Watanzania jinsi ya kuendesha biashara kwa mafanikio, kupata mikopo,…