Author: Jamhuri
Karatu wachangamkia majiko ya ruzuku
đź“ŚMamia wajitokezađź“ŚWaipongeza Serikali kwa mkakati huo Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wananchi Wilayani Karatu Mkoani Arusha wamejitokeza kwa wingi kujipatia majiko ya gesi ya kilo sita (LPG) yanayotolewa na Serikali kwa kushirikiana na Kampuni ya Lake Gas kwa…
Arusha kufanya maombi miaka 63 ya uhuru
MKOA wa Arusha utaadhimisha miaka 63 ya Uhuru kwa kufanya kongamano kubwa la maombi kwa ajili ya kuombea mkoa huo dhidi ya changamoto zinazokumba jamii ya mkoa wa kaskazini mwa Tanzania Akizungumzia madhimisho hayo, Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul…
Serikali kuunda chombo kusimamia mikataba yake
WAZIRI wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi amesema serikali ina mpango wa kuanzisha chombo cha kuratibu na kusimamia mikataba ambayo serikali inaingia. Hatua hiyo ya kunusuru nchi kuingia katika mikataba yenye masharti hasi na inayoigharimu serikali. Amesema hayo wakati…
Zambia yajifunza usimamizi madeni ya ndani Tanzania
TIMU ya wataalamu kutoka Wizara ya Fedha na Mipango Zambia, imefanya ziara ya mafunzo katika Wizara ya Fedha Tanzania. Lengo la mafunzo ni lengo la kujifunza masuala mbalimbali ya uendeshaji ikiwemo usimamizi wa madeni ya ndani. Mafunzo hayo yamefanyika Ofisi…
Uchumi wa bluu kuinua pato na maendeleo wilayani Mafia
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Mafia Viongozi, Wadau wa Uvuvi, mazingira na Utalii kutoka Taasisi mbalimbali wakishiriki Kongamano la Uwekezaji kwenye Uchumi wa Buluu, lililofanyika katika ukumbi wa Halmashauri uliopo Chicco. Mgeni rasmi ambaye ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani…
Wahitimu DMI waaswa kuzingatia uzalendo kwa manufaa ya taifa
Na Lookman Miraji Wahitimu wa chuo cha bahari cha Dar es salaam (DMI) wameaswa juu ya kuweka mbele suala la uzalendo katika fani hiyo kwa manufaa ya taifa. Rai hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa uchukuzi , David Kihenzile katika…