JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Serikali yamaliza kero ya wagonjwa kusafirishwa kwenye matenga, baiskeli Namtumbo

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Namtumbo Wananchi wa vijiji vya Magazini, Sasawala, Amani na Likusanguse wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma wameishukuru Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuona umuhimu wa kuwaletea gari la kubebea wagonjwa katika kituo cha afya cha…

Hotuba ya mwisho ya Papa Francis siku ya Pasaka 2025

Siku ya Pasaka, tarehe 20 Aprili 2025, ulimwengu ulisikiliza kwa makini hotuba ya mwisho ya Papa Francis, iliyojulikana kama “Urbi et Orbi” (kwa mji na kwa dunia). Ingawa afya yake ilikuwa dhaifu kutokana na kuugua nimonia, Papa Francis aliweza kuwabariki…

Wasira kunguruma siku tano Dodoma

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, kesho ataanza ziara ya kikazi mkoani Dodoma kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi na kuimarisha chama. Kwa mujibu wa taarifa ya Ofisi ya Katibu wa CCM Mkoa wa Dodoma …

Viongozi wa dunia wajiandaa kushiriki mazishi ya Papa, Roma

Italia imetangaza siku tano za maombolezo ya kitaifa kufuatia kifo cha kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis, huku bendera ikipeperushwa nusu mlingoti kwenye majengo yote ya umma. Viongozi mbalimbali wa dunia wametangaza kushiriki maziko ya kiongozi huyo wa kiroho…