Author: Jamhuri
Jukwaa Sekta ya Fedha 2024 lazinduliwa
Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba, amezindua Jukwaa la kwanza la Wadau wa Sekta ya Fedha kwa mwaka 2024 jijini Dar es Salaam, litakalotumiwa na wadau kujadili fursa na hatua mbalimbali za kuboresha Sekta ya Fedha. Fursa na hatua hizo ni…
Netanyahu kutoa ushahidi mahakamani leo kuhusu tuhuma za ufisadi
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu anatarajiwa kutoa ushahidi mahakamani leo wa tuhuma za rushwa. Waendesha mashtaka wamemshutumu kwa kutoa makubaliano ya kisheria kwa wamiliki wa vyombo vya habari ili kupata habari chanya, na kukubali zawadi na faida za gharama…
Benki ya Dunia yapunguza makadirio ya ukuaji wa uchumi Kenya 2024
Benki ya Dunia yapunguza makadirio ya ukuaji wa uchumi wa Kenya 2024 hadi asilimia 4.7 kutokana na changamoto za kifedha Benki ya Dunia imepunguza makadirio ya ukuaji wa uchumi wa Kenya kwa mwaka huu hadi asilimia 4.7 siku ya Jumanne,…
Kiongozi wa upinzani wa Uganda Besigye afikishwa mahakamani
Mwanasiasa mkongwe wa Uganda Kizza Besigye na mshtakiwa mwenzake, Obeid Lutale wamefikishwa katika mahakama ya kijeshi mjini Kampala, huku kukiwa na ulinzi mkali. Wawili hao wanakabiliwa na mashtaka manne yakiwemo ya kumiliki silaha kinyume cha sheria, tuhuma ambazo wanakanusha. Leo,…
DC Mgoni awaasa Watanzania kuendelea kudumisha amani
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Songwe MKUU wa wilaya ya Ileje, mkoani Songwe Farid Mgomi, amewaasa watanzania kuendelea kudumisha na kuimarisha amani, upendo, umoja na mshikamano ikiwa ni Tunu ya msingi wa Maendeleo katika Taifa la Tanzania lililoasisiwa na Hayati Mwalimu…