Author: Jamhuri
Israel yathibitisha mashambulizi dhidi ya meli za kivita za Syria
Israel imethibitisha kufanya mashambulizi dhidi ya meli za kivita za Syria, ikiwa ni sehemu ya juhudi zake za kuondosha mali za kijeshi nchini humo baada ya kuanguka kwa utawala wa Assad. Katika taarifa yake jeshi la ulinzi la Israel (IDF)…
Jeshi la Polisi Dodoma lawashika mkono wenye mahitaji maalumu
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia,Dodoma Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma kwa Kishirikiana na Kundi la Wanawake na Samia na wadau wengine wa maendeleo Wametoa Mkono wa Sadaka kwa Wenye uhitaji katika Kituo cha Upendo kilichopo Miyuji ikiwa ni ishara ya…
Jukwaa Sekta ya Fedha 2024 lazinduliwa
Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba, amezindua Jukwaa la kwanza la Wadau wa Sekta ya Fedha kwa mwaka 2024 jijini Dar es Salaam, litakalotumiwa na wadau kujadili fursa na hatua mbalimbali za kuboresha Sekta ya Fedha. Fursa na hatua hizo ni…