Author: Jamhuri
Serikali yaiagiza WHI kuzingatia ubora kwenye miradi ya ujenzi unaoendana na thamani ya fedha
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Philip Isdor Mpango ametoa maelekezo kwa Taasisi ya Watumishi Housing Investments(WHI) kuzingatia ubora na viwango stahiki wakati wa kujenga Nyumba za makazi ya Watumishi ili kuendana na thamani…
Let Matampi na Coastal Union lugha gongana
Na Isri Mohamed KLABU ya Coastal Union imetangaza kuachana na mlinda lango wao, Ley Matampi Raia wa Congo kwa makubaliano ya pande zote mbili. Matampi alijiunga na Wagosi wa Kaya mnamo Agosti 2023, akiwa na miaka 34 na kuonesha kiwango…
Rais Mwinyi azindua Rasimu ya Dira ya 2050
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema malengo makuu ya Rasimu ya Dira ya Maendeleo ya Taifa ni kugusa moja kwa moja katika kuboresha maisha ya watu, elimu, afya, ustawi wa amani na…
Arusha wamshukuru Rais Samia
đź“ŚMajiko ya Gesi ya Ruzuku yawafikia Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha wamemshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa mradi wa kusambaza majiko ya gesi kwa bei ya ruzuku ya asilimia 50 katika halmashauri hiyo. Wametoa pongezi hizo Desemba…
Miaka 30 jela kwa kumbaka mtoto mlemavu wa kusikia na kuongea
Na Daniel Limbe, JamhuriMedia, Chato MKAZI wa kijiji cha Msilale,Mkama Mwizarubi (26) amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka mtoto mwenye ulemavu wa kusikia na kuongea (Bubu) kinyume cha sheria za nchi. Hukumu hiyo…
Profesa Janabi, shujaa wa afya atakayetufuta machozi ya Ndungulile
Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Ikiwa ni siku chache zimepita tangu aliyekuwa Mkurugenzi wa WHO Kanda ya Afrika, Dkt Faustine Ndugulile afariki dunia, jana Desemba 10, 2024 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametangaza…