JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Mnada wa madini ya vito kuzinduliwa Desemba 14 Mirerani, Manyara

▪️Waziri Mavunde kuzindua Mnada Rasmi ▪️Lengo ni kuyaongezea thamani▪️Kudhibiti utoroshaji▪️Kuuzwa kwa bei ya ushidani Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Manyara WAZIRI wa Madini Mheshimiwa Anthony Mavunde anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye mnada wa madini ya vito unaotarajiwa kufanyika katika mji mdogo…

Watoto wawili wa familia moja wabakwa na kuambukizwa virusi vya UKIMWI

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Njombe Watoto wawili wa familia moja ambao ni wanafunzi wa shule ya msingi katika halmashauri ya mji wa Makambako mkoani Njombe wanadaiwa kubakwa na kuambukizwa virusi vya Ukimwi (VVU) na baba yao wa kufikia. Victor Nyato…

Mtoto wa miaka 11 aokolewa baada ya siku 3 baharini

Mtoto wa kike wa miaka 11 kutoka Sierreleone, aliyenusurika peke yake katika ajali ya boti aliokolewa usiku wa kuamkia Jumatano baada ya kukaa kwa siku tatu baharini katika kisiwa cha Italia cha Lampedusa. Shirika la hisani la uokozi la Kijerumani…

Mwanafunzi DIT Dar ajirusha ghorofani na kupoteza maisha

Mwanafunzi wa Chuo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (DIT) ameripotiwa kujirusha jana usiku, majira ya saa tano, katika tukio lililowaacha wanafunzi na uongozi wa chuo wakiwa na mshangao na huzuni kubwa. Taarifa za awali zinaeleza kuwa chanzo cha tukio…

Wananchi wapongeza kasi ya Jeshi la Polisi katika kuwashughulikia wahalifu

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia, Dodoma Wananchi wa Kata ya Ihumwa Jijini Dodoma wamelipongeza Jeshi la Polisi kwa hatua kali zinazochukuliwa dhidi ya watu wanaofanya uhalifu pamoja na vitendo vya ukatili kwa kuwakamata na kuwafikisha katika vyombo vya sheria kwa wakati. Hayo…

FIFA yathibitisha kuwa Saudi Arabia itaanda Kombe la Dunia 2034

Michuano ya Kombe la Dunia kwa wanaume ya 2034 itafanyika Saudi Arabia, wakati Uhispania, Ureno na Morocco watakuwa wenyeji wa pamoja wa mashindano ya 2030, Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limethibitisha. Mechi tatu katika mashindano ya 2030 pia zitafanyika Argentina,…