JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

TMA: Kuna uwepo wa Kimbunga ‘CHIDO’ Bahari ya Hindi Kaskazini mwa Madagascar 

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa taarifa ya uwepo wa kimbunga ‘CHIDO’ katika Bahari ya Hindi kaskazini mwa Kisiwa cha Madagascar. Taarifa iliyotolewa jana na Mamlaka hiyo,imesema mifumo ya hali ya…

Mamilioni ya pesa yawapeleka Japan Misenyi mkoani Kagera

Na Egbart Rwegasira, JamhuriMedia, Kagera Ubalozi wa Japan nchini Tanzania kupitia naibu mkuu wa ujumbe wa Japan nchini Tanzania Bw. Shoich Ueda mapema Desemba 11, 2024 uliwasili Wilaya Misseny mkoani Kagera kwa lengo la kuzindua na kukabidhi bweni kubwa la…

Utekelezaji MoU Tanzania na Burundi waanza rasmi

*Ni kubadilishana uzoefu katika Utafiti wa kina katika madini *Ni wa Uongezaji thamani madini *Na Usimamizi wa Sheria na taratibu za biashara ya madini Ma Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Itakumbukwa kwamba mwezi machi 30, 2024 jijini Bujumbura nchini Burundi, Waziri…

‘Ziwa Tanganyika liendelee kulindwa kusaidia jamii’

NAIBU Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Khamis Hamza Khamis ametoa wito kwa Nchi Wanachama wa Ziwa Tanganyika kuendelea kulinda ziwa hilo ili lisaidie katika shughuli za kijamii. Amesema katika jitihada za kulinda ziwa hilo, Jamhuri ya…

Tundu Lissu kuwania uenyekiti CHADEMA

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo -CHADEMA – Bara, Tundu Lissu ametangaza rasmi nia ya kuwania nafasi ya Uenyekiti wa chama hicho Taifa. Akitangaza nia hiyo jijini Dar es Salaam leo Novemba 12, Lissu amesema amefikia uamzi huo…

Kiongozi Uganda aunga mkono kesi za kijeshi

Rais wa Uganda Yoweri Museveni mwenye umri wa miaka 80 ametetea matumizi ya mahakama za kijeshi kuwashitaki raia, kufuatia malalamiko ya kukamatwa na kushtakiwa kwa kiongozi wa upinzani Kizza Besigye. Besigye mwenye umri wa miaka 68 ameshtakiwa katika mahakama ya…