JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Watu 38 wafariki Congo, wengine wapotea

Watu 38 wamethibitishwa kufariki dunia na wengine zaidi ya 100 kupotea baada ya Feri iliyokuwa imejaa watu kupinduka kwenye mto Busira Kaskazini – Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemkrasia ya Congo. Katika ajali hiyo ya Feri ambayo ilibeba watu waliokuwa wakirejea…

Trump kuwashughulikia waliobadili jinsia

Rais mteule wa Marekani Donald Trump amepanga kuwashughulikia watu waliobadili jinsia zao nchini Marekani siku ya kwanza atakapoingia  madarakani. Kauli hiyo ameitoa wakati Warepublican wakiendelea na juhudi zao za kupinga haki za watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja LGBTQ katika…

Watu 94 wamekufa kufuatia kimbunga Chido

Shirika la kukabiliana na majanga nchini Msumbiji limesema kuwa mpaka sasa  idadi ya vifo vilivyotokana na kimbunga Chido vimefikia 94. Wiki moja sasa tangu Kimbunga Chido kutokea na kuishambulia pwani ya Msumbiji na kuathiri maeneo mengi ikiwemo visiwa vya Mayotte….

Kasesela : Mbunge, diwani atakayeshindwa kutetea nafasi yake ajilaumu mwenyewe

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Iringa Mjumbe wa Halmshauri kuu ya chama cha Mapinduzi (CCM) taifa (MNEC) Richard Kasesela amesema kuwa Mbunge au Diwani atakayeshindwa kutetea nafasi yake ajilaumu mwenyewe kwa kuwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ametekeleza mikubwa kwenye kila…

Gridi za Tanzania, Kenya kuimarisha upatikanaji umeme nchini : Gissima Nyamo-Hanga

📌 Awahimiza wataalamu kusimamia zoezi la kuziunganisha Gridi za Tanzania na Kenya kwa umakini bila kuathiri upatikanaji wa umeme kwenye mfumo wa Gridi ya umeme Nchini 📌 Aeleza faida za Tanzania kufanya biashara katika soko la EAPP na SAPP Mkurugenzi…