Author: Jamhuri
Viongozi vyombo vya usalama Tarime washauriwa kuacha kutumia nguvu
Wizara ya Katiba na sheria imevishauri vyombo vya Usalama kufanya kazi kwa kuzingatia misingi ya Utumishi na Utawala bora badala ya matumizi ya nguvu katika Kutekeleza majukumu yao ya usalama. Kauli hiyo ameitoa mwansheria kutoka Jeshi la Polisi Tanzania ACP…
Aliyekuwa mhasibu KMC FC afikishwa mahakamani kwa tuhuma za rushwa
Aliyekuwa Mhasibu wa Klabu ya Mpira wa Miguu ya Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni (KMC FC), Bw. Atulinda Barongo, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni, Kinondoni, Dar es Salaam, akikabiliwa na tuhuma za uhujumu uchumi. Bw. Barongo anashtakiwa kwa…
17 mbaroni kwa ulawiti na mauaji Mtwara
WATU 17 wametiwa nguvuni na Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara kwa tuhuma za kujihusisha na makosa mbalimbali mkoani humo. Akizungumza leo mkoani Mtwara, Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara Issa Suleiman – SACP amesema watuhumiwa hao wamekamatwa…
Somalia Ethiopia kumaliza mivutano ya kikanda
Serikali ya Marekani imepongeza hatua ya makubaliano yaliyofikiwa na Somalia na Ethiopia ya kumaliza mivutano ya kikanda, iliyochochewa na shinikizo la Ethiopia la ufikiaji salama wa baharini. Katika taarifa maalum iliyotolewa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony…
DC Iringa aona mwanga Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia
Na Mwandishi Wetu, JamhiriMedia, Iringa MKUU wa wilaya ya Iringa, Herry James, amesema kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia itasaidia kuondoa migogoro iliyopo ya uelewa mdogo wa haki za binadamu, mila na desturi kandamizi, vitendo vya ukatili wa…
TMA: Kuna uwepo wa Kimbunga ‘CHIDO’ Bahari ya Hindi Kaskazini mwa Madagascar
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa taarifa ya uwepo wa kimbunga ‘CHIDO’ katika Bahari ya Hindi kaskazini mwa Kisiwa cha Madagascar. Taarifa iliyotolewa jana na Mamlaka hiyo,imesema mifumo ya hali ya…