Author: Jamhuri
Serikali kushirikisha vijana kupamba na uhalifu, Bashungwa atoa onyo kaki
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amesema Wizara kupitia vyombo vya usalama na taasisi nyingine za Serikali zitashirikiana na Vijana ili kupata suluhu kwa baadhi ya changamoto zilizopo na zinazoendelea kujitokeza katika…
Serikali yabainisha mikakati ya kurejesha hadhi ya madini ya Tanzanite
-Waziri Mavunde azindua mnada wa ndani Mirerani leo. -Madini yote yatakayokosa wanunuzi kurejeshwa kwa wahusika -Wadau waonesha nia ya kujenga Mji wa Kimadini Mirerani Na Mwandishi Wetu, JakmhuriMedia, Manyara Waziri wa Madini Mheshimiwa Anthony Mavunde amesema Serikali imejidhatiti kurudisha hadhi…
TFS yawahimiza wananchi kukimbilia fursa ya ufugaji nyuki na uzalishaji asali
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani WAKALA wa Huduma za Misitu (TFS) Kanda ya Mashariki umewataka wananchi kuchangamkia fursa ya ufugaji wa nyuki na uzalishaji wa asali kwa wingi ili kuongeza kipato na kufikia masoko ya kimataifa. Ofisa Nyuki wa TFS,…
Mavunde: Serikali haitachukua madini ya wafanyabiasha katika minada
Na Zulfa Mfinanga,Jamhuri Media, Arusha Waziri wa Madini Anthony Mavunde amewaondoa hofu wafanyabiasha wa madini kuwa serikali haina mpango wa kuchukua madini yao yatakayobaki katika minada. Mavunde amesema kumekuwa na dhana potofu kuwa serikali ilichukua madini ya wafanyabiasha katika minada…
Mwanafunzi Chuo cha RUCU Iringa auawa kikatili
Jeshi la Polisi mkoani Iringa linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kumdhalilisha kimwili na kumsababishia kifo, mwanafunzi wa mwaka wa kwanza wa Chuo Kikuu cha Ruaha (RUCU), Rahel Mkumbwa. Tukio hilo la kusikitisha limetokea usiku wa kuamkia Desemba12, 2024 katika…
Kampuni 50 zina nia ya kuwekeza vituo vya CNG
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), imesema kuwa hadi sasa Kampuni 50 zina nia ya kuwekeza vituo vya kujaza gesi asilia iliyogandamizwa (CNG) nchini. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi wa…