Author: Jamhuri
Meli mbili za mafuta za Urusi zaharibiwa katika Bahari Nyeusi
Meli mbili za mafuta za Urusi zimeharibika vibaya katika Bahari Nyeusi, na kusababisha mafuta kumwagika, mamlaka nchini Urusi imesema. Picha zilizotolewa na Ofisi ya Mwendesha Mashtaka wa Uchukuzi Kusini mwa Urusi zilionyesha moja ya meli ikiwa imeharibika kabisa, huku mafuta…
38 wauawa magharibi mwa Darfur
Watu 38 wameuawa Magharibi mwa jimbo la Darfur nchini Sudan, baada ya wanamgambo wa RSF kutumia ndege isiyokuwa na rubani, kutekeleza shambulio hilo. Wanamgambo wa RSF wamerusha makombora manne kuwalenga watu kwa mujibu wa wanaharakati, wanaosema mashambulio yameendelea kuongeza katika…
Polisi Rufiji waonesha shehena ya nyanya za TANESCO, SGR iliyokamatwa
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Rujifi limewakamata Watu wawili ambapo mtu mmoja akiwa na asili ya Kiasia na mwingine akiwa ni Mtanzania kwa tuhuma za kukutwa na shehena ya nyaya za shaba mali zilizoibwa katika Miundombinu ya Umeme –…
Majaliwa atembelea kiwanda cha dawa za binadamu, Kigamboni
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametembelea kiwanda cha kutengeneza dawa za binadamu cha Cure Afya kilichopo Kigamboni jijini Dar es Salaam. Akizungumza baada ya kushuhudia uzalishaji wa dawa kwenye kiwanda hicho chenye thamani ya takribani shilingi bilioni 50, Waziri Mkuu amesema…
Ulega akagua miradi ya BRT, atoa maagizo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega amemuelekeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Balozi, Mhandisi, Aisha Amour kuwasimamia kikamilifu wakandarasi wanaotekeleza ujenzi wa miundombinu ya mabasi yaendayo haraka jijini Dar es Salaam kwa kufanya…
Simba yaleta heshima kimataifa
Wekundu wa Msimbazi Simba Sc imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya CS Sfaxien ya Tunisia katika mchezo wa hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Barani Afrika uliochezwa leo Disemba 15, 2024 katika uwanja wa Benjamini Mkapa, Dar…