Author: Jamhuri
Baba harusi Vicent Massawe akutwa kwa mganga wa kienyeji baada ya kuuza gari alilokodi
Na Magrethy Katengu, JamhuriMedia,Dar es Salaam Vicent Peter Masawe a.k.a baba harusi mkazi wa Kigamboni Dar es Salaam anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za wizi wa gari aliloazimwa wakati wa harusi yake huku akijipatia fedha kwa njia ya…
Rais Mstaafu Dk Kikwete ahudhuria mkutano wa Taasisi ya ubia wa wadau wa maji Kusini mwa Afrika
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Kikwete, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Ubia wa Wadau wa Maji Kusini mwa Afrika (Global Water Partnership (Southern Africa & GWP Africa Coordination Unit), alishiriki Mkutano wa Bodi wa Taasisi…
Jaji akataa hoja ya Trump ya kutaka atupilie mbali kesi aliyopatikana na hatia
Jaji wa mahakama ya New York ameamua kuwa hatia aliyopatikana nayo Donald Trump katika kesi ya kutoa pesa za kutunza siri ni halali, amekataa hoja ya rais mteule kwamba hatia hiyo inapaswa kutupiliwa mbali kutokana na uamuzi wa Mahakama ya…
Ukraine yakiri kumuua Jenerali wa kikosi cha nyuklia wa Urusi
Vyanzo vya BBC katika Idara za Usalama za Ukraine vinadai kuwa Ukraine ndio imehusika na operesheni ya kumuua Igor Kirillov mjini Moscow. Kulingana na chanzo hicho, pikipiki iliyokuwa na vilipuzi ililipuliwa wakati Kirillov na msaidizi wake wakikaribia jengo moja huko…
RITA yamaliza mgogoro wa msikiti wa Ijumaa Mwanza
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhani nchini (RITA), umeitaka Bodi mpya ya Wadhamini wa Msikiti wa Ijumaa jijini Mwanza, kujiepusha na ubadhirifu wa mali za msikiti sambamba na kuimarisha mshikamano wa waumini, pamoja na kutolipiza…
Rais Samia tusaidie kukataa dizeli SGR, hongera Dk. Biteko TANESCO
Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Dar es Salaam Leo katika makala hii, naomba, narudia, naomba sana niandike juu ya mambo mawili. Mambo haya ni treni yetu ya mwendokasi (SGR) na uzinduzi wa njia ya kusafirisha umeme wa msongo wa KV400 kutoka…