JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Wasira : CCM haibishani na CHADEMA

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amemjibu kiongozi mstaafu wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe kuwa CCM haibishani na CHADEMA kwa kuwa iliwaambia wazungumze wakajibu hawako tayari kupotezewa muda. Pia, Wasira ametumia nafasi hiyo kuwaambia CHADEMA wajitokeze hadharani…

Rais Samia awasisitiza viongozi wa dini kutoruhusu majukwaa ya kiimani kutumika kuhubiri siasa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa dini kuendelea kudumisha amani ya nchi na kubaki kwenye jukumu la kuwalea wananchi kiroho. Taarifa iliyotolewanna Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu Shirika Nyanga imesema…

Majaliwa ashiriki swala ya Eid Ruangwa

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akishiriki Swala ya Eid ya Eid iliyofanyika kiwilaya  kwenye Mtaa wa Maghalani, kata ya Ruangwa, Mkoani Lindi Machi 31, 3 2025. Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Zainabu Telac akishiriki swala ya Sikukuu ya Eid iliyofanyika kiwilaya  kwenye Mtaa wa Maghalani,…

Rais Dk Samia ashiriki Baraza la Eid El – Fitr Dar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waumini wa Dini ya Kiislamu pamoja na wageni mbalimbali kwenye Baraza la Eid El Fitr ambalo Kitaifa limefanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius…

Ni wakati sasa wa dunia kutambua Afrika inaweza kutoa kampuni kubwa za kimataifa – Mo Dewji

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam WATANZANIA wataendelea kufurahia neema ya uwekezaji ya mfanyabiashara Mohamed Dewji (MO) anayemiliki Kampuni ya Mohamed Enterprises Limited (MeTL) ambaye sasa ameamua kuwekeza kwa nguvu zaidi katika maeneo manne anayoamini yana matokeo chanya kwa…