JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Vifo vya ajali vyafikia 15 Morogoro

Idadi vifo vilivyotokana na ajali iliyohusisha gari ndogo ya abiria aina ya Coaster iliyokuwa ikitokea mkoani Morogoro kuelekea Jijini Dar -es Salaam kugongana uso kwa uso na gari kubwa la mizigo lililokuwa likitokea Jijini Dar es Salaam kuelekea mkoani Morogoro…

Watu 25 wafariki baada ya boti kuzama mtoni DR Congo

Zaidi ya watu 25 wamepoteza maisha baada ya boti yenye abiria zaidi ya 100 kuzama katika mto Fimi, katika jimbo la Mai-Ndombe, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Ajali hiyo inatajwa kuwa miongoni mwa matukio ya aina yake kutokea ndani ya…

Msigwa: Vyombo vya habari 1,200 vimesajiliwa nchini

KATIBU Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema vyombo vya habari zaidi ya 1200 vimesajiliwa na kuajiri makundi mbalimbali ya watu wakiwemo watangazaji na mafundi mitambo Msigwa amesema hayo leo Desemba 18,…

NIDA yapewa miezi miwili kusambaza vitambulisho 1.2 vilivyotengenezwa

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ametoa miezi kwa miwili Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kuhakikisha vitambulisho milioni moja na laki mbili ambavyo tayari vimeshatengenezwa vinasambazwa na kuwafikia Wananchi walengwa. Waziri Bashungwa amesema hayo leo Disemba…

Njama ya mauaji ya Papa ilitibuliwa na ujasusi wa Uingereza

Njama ya kumuua Papa Francis wakati wa safari yake nchini Iraq ilizuiwa kufuatia taarifa kutoka kwa vyombo vya habari vya Uingereza, kulingana na wasifu wake ujao. Papa anasema kwamba, baada ya kutua Baghdad mnamo Machi 2021, aliambiwa kuhusu tukio ambalo…

Watu 14 wafariki kwa ajali, saba wajeruhiwa Morogoro

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro Watu 14 wamefariki dunia na wengine saba kujeruhiwa baada ya gari kubwa la mizigo kugongana uso kwa uso na gari dogo la abiria majira ya saa 2 usiku eneo la Mikese Mkoani Morogoro. Kwa mujibu…