JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Tanzania inaongoza katika nchi za Afrika Mashariki kuwa na afya ya uchumi zaidi – Kafulila

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi-PPPC, David Kafulila, amesema Tanzania inaongoza katika nchi za Afrika Mashariki kwa kuwa na afya ya uchumi zaidi ukilinganisha na…

Gibson: Starlink Tanzania haina uhusiano na Starlink Satellite

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kampuni ya burudani na masoko ya Starlink Tanzania Limited imekanusha vikali uwapo wa uhusiano wowote na Kampuni ya Starlink Satellite Tanzania Limited inayotoa huduma ya intaneti inayomilikiwa na SpaceX. Starlink Tanzania Ltd ilisajiliwa…

Walimu wa awali na msingi wapata mafunzo ya TEHAMA

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Charles Mahera amesema katika zama hizi za maendeleo ya Sayansi na Teknolojia, Uhitaji wa matumizi ya TEHAMA katika ufundishaji na ujifunzaji ni hitaji muhimu na lisiloepukika kwa ajili ya kurahisisha…

Simba wembe ule ule, yailaza Ken Gold 2 -0

Timu ya Simba SC imefanikiwa kuibuka na ushindi wa 2 – 0 dhidi ya Ken Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara uliochezwa leo Desemba 18, 2024 katika Uwanja wa KMC Complex uliopo Mwenge, Dar es Salaam.

Bodi ya NBAA yatakiwa kufanya maboresho ya mitaala

……… Na. Josephine Majura na Peter Haule, WF, Dar es Salaam Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb) ameitaka Bodi ya Wakurugenzi ya Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) kupitia upya mitaala iliyopo…

Viongozi wa dini Kagera wawaonya wananchi dhidi ya ushirikiana

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kagera Viongozi wa dini mkoani Kagera wamewaasa wananchi kutambua kuwa mafanikio ya kweli hayawezi kupatikana kupitia ushirikina au vitendo vya kikatili, kama kukata viungo vya watu wenye ulemavu wa ngozi. Katika maombi maalum yaliyofanyika Uwanja wa…