Author: Jamhuri
Majaliwa aipongeza Wizara ya Ujenzi kurejesha mawasiliano barabara Kuu Manyara – Singida
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameipongeza Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), kwa kurejesha mawasiliano ya barabara Kuu ya Manyara – Singida ambayo iliathirika Desema 3, 2023 wakati wa maafa ya maporomoko ya tope la mlima Hanang Mkoani…
Kampeni ya Mama Samia yapatiwa magari 10
Waziri wa Katiba na Sheria Dk. Damas Ndumbaro,akizindua magari 10 kwa ajili ya Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) ili kuongeza kasi ya utoaji huduma hiyo kwa watanzania hafla iliyofanyika leo Disemba 20,2024 jjijini Dodoma. Na Mwandishi…
DK. Mwinyi aweka jiwe la msingi Flyover Kwerekwe
Na Mwandishi Maalum, Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amewahakikishia wananchi kuwa Serikali ina mipango thabiti, Madhubuti na mizuri ya kupata fedha kwaajili ya maendeleo zaidi. Ameyasema hayo alipoweka jiwe la msingi…
‘Maslahi ya waandishi yameboreshwa’
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Fatma Hamad Rajab amesema Serikali imeboresha mazingira ya Waandishi wa Habari ili kuongeza ufanisi katika kazi. Ameyasema hayo wakati wa kipindi cha Asubihi Njema, kinachoendesha…
Serikali yakusanya bilioni 325.3 tangu DPW waanze kazi bandari ya Dar es Salaam
Na Dotto Mwaibale, Dar es Salaam SERIKALI imeshakusanya umla ya Sh.Bilioni 325.3 katika kipindi cha miezi mitano (Aprili hadi Septemba 2024) tangu DPW Dar es Salaam waanze kuendesha Gati 0-7 katika Bandari ya Dar es Salaam. Hayo yamesemwa na Katibu…
Tanzania, Saudi Arabia kuimarisha ushirikiano sekta ya nishati
📌 Waziri Kapinga afanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Nishati Saudi Arabia 📌 Wajadili ushirikiano katika Mafuta, Gesi Asilia, Nishati Jadidifu na Nishati Safi ya Kupikia 📌 Saudi Arabia yaeleza kutambua juhudi za Tanzania kuimarisha Sekta ya Nishati 📍SAUDI ARABIA…