Author: Jamhuri
Kinachojirudia Somanga ni aibu
Barabara inayounganisha mikoa ya kusini mwa Tanzania; Mtwara, Lindi na mikoa ya Pwani na Dar es Salaam ni miongoni mwa barabara kubwa na muhimu nchini. Ni barabara ambayo ilikuwa imesahaulika kama si kutelekezwa kwa miaka mingi baada ya Uhuru, na…
Bungeni hakukaliki
*Wabunge wacharuka chama kufanya mabadiliko, uamuzi mzito bila kuwashirikisha *Wawaambia ‘wakubwa’ Makao Makuu: Kama hamtutaki au mmetuchoka mtueleze tujue moja *Spika, ‘Chief Whip’ wakumbwa na hofu kuwapo uwezekano wa bajeti kadhaa kukwama *Rais Samia aingilia kati, azungumza na Dk. Nchimbi…
Congo na M23 wakubali kutafuta amani
Nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo na waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda, siku ya Jumatano waliahidi katika taarifa iliyotolewa baada ya mazungumzo nchini Qatar kutafuta amani baada ya ghasia kupamba moto mwezi Januari huko Mashariki mwa Congo,…
Maelfu kuendelea kutoa heshima za mwisho kwa Papa Francis
Dunia inaendelea kuomboleza kifo cha kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis, aliyeaga dunia Jumatatu wiki hii akiwa na umri wa miaka 88, baada ya kuugua kwa muda mrefu. Dunia inaendelea kuomboleza kifo cha kiongozi wa Kanisa Katoliki dunianiPapa Francis,…
Trump: Ukraine inachelewesha kumalizika kwa vita
Rais wa Marekani Donald Trump amemtupia lawama rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky kwa kukataa kukubali kulipoteza eneo la Crimea ambalo tayari linakaliwa kimabavu na Urusi ili kumaliza vita baina ya nchi hizo mbili. Rais wa Marekani Donald Trump amemtupia lawama…
Balozi Nchimbi azungumza na wajumbe wa Halmashauri Kuu Mara
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akizungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Mara, kwenye kikao cha ndani kilichofanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya CCM Mkoa wa Mara, leo Jumatano tarehe…