Author: Jamhuri
Mbio za Kilimanjaro kuiweka Tanza kwenye ramani
Na Mwandishi Wetu Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi, Dk Pindi Chana amesema Mbio za Kimataifa za Kilimanjaro Premium Lager Marathon ni chachu katika kukuza utalii na kuiweka Tanzania katika ramani ya riadha na utalii Kimataifa. Chana ametoa kauli hiyo…
Viongozi wa dini Tanga washauri kuliombea taifa
Na Mwandishi Wetu, JanhuriMedia, Tanga Viongozi wa dini mkoani Tanga wameishauri serikali kuweka siku maalum ya kuliombea taifa wakati huu kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa ili taifa liendelee kubaki salama. Ombi hilo wamelitoa mbele ya Mkuu wa Mkoa wa…
Ismail Jussa aanza ziara Chaani Kaskazini Unguja
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo Zanzibar, Ismail Jussa leo Oktoba 19 ameanza ziara katika Jimbo la Chaani Mkoa wa Kaskazini Unguja. Ziara hiyo ni mpango wa kutembelea majimbo 50 kupitia mkakati maalumu wa kuweka mazingira bora kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025.
Hakimu aeleza kwanini Fatma Kigondo ‘Afande’ kutoshtakiwa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma imekataa ombi la kusaini malalamiko yaliyotolewa na Paul Kisabo dhidi ya Fatma Kigondo, maarufu kama Afande, baada ya kubaini kasoro kadhaa katika malalamiko hayo. Uamuzi huu ulitolewa jana na unamaanisha…
Iran yasisitiza ahadi ya kuunga mkono Palestina
Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei alisisitiza tena ahadi ya kuunga mkono Wapalestina kufuatia mauaji ya Yahya Sinwar, mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Hamas.q Katika taarifa yake juu ya X, Khamenei alisema “kupoteza kwa Yahya Sinwar ni chungu…
SADC lamuunga mkono Rais wa IPU Dk Tulia
JUKWAA la Wabunge wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) limemuunga mkono Rais wa Umoja wa Mabunge ya Muungano (IPU), Dk Tulia Ackson kufuatia mijadala ya hivi karibuni kuhusu mkutano wake na Rais wa Urusi.Jukwaa la Wabunge, Roger Mancienne,…