JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Muigizaji Pembe afariki dunia

Na Isri Mohamed Muigizaji Mkongwe wa Vichekesho Nchini, Yusuph Kaimu maarufu kama Pembe Amefariki dunia Katika Hospitali ya Temeke Jijini Dar es Salaam, Jioni ya Leo Oktoba 20, 2024. Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Katibu wa chama Cha Waigizaji…

Mtaalamu bingwa wa nyonga na magoti wa Uingereza atua Dar

Atashirikiana na wataalamu wa Mloganzila Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam MTAALAMU bingwa wa upasuaji wa nyonga na magoti kutoka hospitali ya Qeen Elizabeth ya Uingereza Profesa Mamoun AbdelGadir, amewasili jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kambi ya…

Uwekezaji wa bilioni 429.1/- waimarisha utendaji bandari ya Tanga

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tanga UTENDAJI wa Bandari ya Tanga umeimarika kwa kiasi kikubwa katika miaka ya hivi karibuni, kutokana na uwekezaji wa Serikali wa Shilingi Bilioni 429.1. Bandari ya Tanga ilijengwa kwa mara ya kwanza mwaka 1914 ili kukidhi mahitaji…

TLS tutashirikiana na Serikali, harakati zikae pembeni – Boniface Mwambukusi

Kauli ya Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, inayoeleza umuhimu wa ushirikiano na serikali katika utoaji wa huduma za msaada wa kisheria, inathibitisha nafasi kubwa ya serikali katika kuhakikisha haki inafikiwa na raia wote. Serikali, chini ya…

Hodari wa uchumi wa Afrika- Rais Samia Suluhu Hassan

🇹🇿 Tanzania:Inavyoongoza Katika Kupambana na Umaskini Afrika! Tunapoadhimisha Siku ya Kimataifa ya Kutokomeza Umaskini (Oktoba 17), Tanzania inajitokeza kuwa kielelezo cha matumaini na maendeleo. Kwa mujibu wa takwimu za Afrobarometer, asilimia 51 ya Watanzania wanaamini kuwa serikali yao inafanya kazi…

Asasi za kiafya zaadhimisha mwezi wa saratani

Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Taasisi isiyo ya kiserikali ya Shujaa Cancer Foundation kwa kushirikiana na ubalozi wa Sweden nchini pamoja na Wizara ya Afya kwa pamoja wameungana kuadhimisha mwezi wa uhamasishwaji wa saratani ya matiti. Maadhimisho hayo…