Author: Jamhuri
Dk Biteko ataka umoja, ushirikiano na ubunifu taasisi za nishati
📌 Asema Rais Samia anataka Ubunifu ili kusogeza huduma bora kwa wananchi 📌 Asisitiza utendaji kazi umuangalie Mtanzania wa kawaida anayeitegemea Serikali kubadili maisha 📌 Aagiza kila Taasisi kuwa na Vigezo vya Upimaji Utendaji Kazi 📌 Ataka Watendaji waache alama…
NIRC yakabidhi mtambo wa umwagiliaji kwa vijana wanaolima vitunguu Songea ni ahadi ya Waziri Bashe
Na Mwandishi Wetu, Jamhuri, Ruvuma Tume ya Taifa ya Umwagiliaji yakabidhi mtambo wa umwagiliaji wenye thamani ya Tsh 4,236,000 kwa bwana Jacob Davis na wenzake wawili wanaojishughulisha na kilimo cha umwagiliaji ambapo kwasasa wamejikita kuzalisha vitunguu katika kijiji cha Nakahengwa…
Acheni kufokea watumishi wenzenu – Simbacha
Na Lusungu Helela, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.George Simbachawene ameonesha kukerwa na baadhi ya Wakurugenzi na Wakuu wa Taasisi za Serikali wenye tabia ya kuwafokea Watumishi …
Wanafunzi Hazina watia fora siku ya UN
Na Mwandishi Wetu, JakhuriMedia, Dar es Salaam WANAFUNZI wa shule ya Kimataifa ya Msingi Hazina ya Magomeni jijini Dar es Salaam, wameonyesha umahiri mkubwa kwenye siku ya Umoja wa Mataifa (UN) kwa kutoa mada zilizowavutia wageni waalikwa. Wanafunzi hao walialikwa…
TPA yatumia maonesho ya Tamasha la Biashara na Utalii kunadi fursa za uwekezaji katika bandari
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mbeya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imetumia fursa ya maonesho ya Tamasha la Biashara na Utalii Kusini kunadi fursa za uwekezaji katika bandari zake hapa nchini. Maonesho hayo, yaliyofunguliwa rasmi na Spika wa Bunge…
Milango ya Rais Samia iko wazi anakaribishwa viongozi wa dini – Dk Biteko
📌 Dkt. Biteko Amwakilisha Rais Samia Jubilei ya Miaka 50 ya AICT Magomeni 📌Rais Samia Achangia Milioni 100 Ujenzi wa Kanisa 📌Awahimiza Waaumini Kujitoa Kujenga Kanisa 📌 Atoa Wito kwa Viongozi wa Dini Kutimiza Kusudi la Mungu 📌 Awahimiza Watanzania…