JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Rais Samia aziwezesha sekta binafsi kutekeleza miradi ya umeme

📌Shilingi bilioni 2 zimetolewa na REA kuendeleza mradi 📌 Utunzaji wa mazingira umepewa kipaumbele kwenye utekelezaji wa miradi 📍Makete – Njombe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameipa kipaumbele sekta binafsi kutekeleza miradi ya…

Rais Samia: Serikali itaendelea kuweka mazingira rafiki kwa wawekezaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa serikali itaendelea kuboresha mazingira kwa wawekezaji katika sekta ya kilimo na kuhakikisha kunakuwepo masoko ya uhakika. Haya yatajenga msingi wa kukuza uchumi wa taifa kupitia kilimo….

Wizara ya Michezo yaikabidhi siku 120 Suma JKT kukamilisha viwanja vya michezo

Na Lookman Miraji Wizara ya michezo imesaini mkataba na kampuni ya ujenzi ya Suma JKT juu ukarabati wa viwanja vya michezo nchini. Mkataba huo umesainiwa leo hii huko ikihusisha ukarabati ya viwanja vya michezo ambavyo vitatumika katika mashindano yajayo ya…

Aweso ataka utafiti upatikanaji maji Dodoma

Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amewata wataalamu kufanya utafiti wa kina wa upatikanaji wa maji jijini Dodoma ili kuruhusu uchimbaji wa visima virefu kwa haraka katika mkoa huo kutatua tatizo la upungufu wa maji linalotokana na ongezeko la watu katika…

Vijana Queens yafutiwa matokeo

Timu ya wanawake ya Vijana Queens iliyokuwa inashiriki Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam imefutiwa matokeo  ya mchezo wake wa nusu fainali namba 504 ilipocheza dhidi ya JKT Stars. Taarifa ya Kamati ya Ufundi na Mashindano ya Chama…

NMB kuchangia bil.1/- matibabu ya watoto JKCI

Na Mwandishi Wetu  BENKI ya NMB na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), wamesaini makubaliano ya ushirikiano yatakayowezesha benki hiyo kusaidia gharama za matibabu ya watoto wanaotibiwa katika taasisi hiyo kwa kiasi cha Sh. Bilioni 1 kwa miaka minne,…