Author: Jamhuri
Serikali imetekeleza miradi mingi sekta ya afumya – Dk Biteko
๐ Azindua Jengo la Kisasa la Upasuaji Sengerema DDH na Mradi wa Umeme wa Jua ๐ Ahimiza wananchi kutunza miundombinu ya hospitali ๐Ataja mageuzi makubwa yaliyofanywa katika sekta ya afya ๐ Alipongeza Kanisa Katoliki, awashukuru wafadhili wa miradi Na Ofisi…
Chatanda azindua Umoja wa Wanawake Wafanya biashara wa Masoko Dodoma
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Mwenyekiti wa UWT-Taifa Mary Chatanda amezindua Umoja wa Wanawake Wafanya biashara Mosoko yote Jijini Dodoma (UWAWAMA) huku akiwataka wanawake hao kuachana na mikopo yenye masharti magumu inayochangia kuanguka kiuchumi. Pamoja na Mambo mengine uzinduzi huo umehudhuriwa na…
ACT -Wazalendo walia wagombea wao kunyimwa fomu za kuwania uongozi wa Serikali za Mitaa
Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia,Dar es Salaam CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema wagombea wa vyama vya upinzani katika maeneo mengi nchini wamekuwa wakinyimwa fomu za kuwania uongozi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27, mwaka huu. Hayo yamebainishwa mwishoni jana na Makamu…
Kunenge : Pwani kusimami maono ya Rais Samia kuvutia wawekezaji kwa wingi
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, ameeleza mkoa huo utaendelea kusimamia maono ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuhakikisha unavutia wawekezaji kwa wingi. Akizungumza wakati wa ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Dar…
Rais Samia aziwezesha sekta binafsi kutekeleza miradi ya umeme
๐Shilingi bilioni 2 zimetolewa na REA kuendeleza mradi ๐ Utunzaji wa mazingira umepewa kipaumbele kwenye utekelezaji wa miradi ๐Makete – Njombe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameipa kipaumbele sekta binafsi kutekeleza miradi ya…
Rais Samia: Serikali itaendelea kuweka mazingira rafiki kwa wawekezaji
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa serikali itaendelea kuboresha mazingira kwa wawekezaji katika sekta ya kilimo na kuhakikisha kunakuwepo masoko ya uhakika. Haya yatajenga msingi wa kukuza uchumi wa taifa kupitia kilimo….