JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

CRDB yazindua Chatbot wa Kidigitali aitwae ‘Elle’

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam KATIKA kuadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja, Benki ya CRDB imezindua huduma mpya iitwayo ‘Elle’ ambayo ni huduma ya wateja wa kidijitali saa 24. Uzinduzi wa huduma hiyo umefanyika leo Oktoba 7, 2024…

Watu 70 wamekufa Haiti

Watu wasiopungua 70 wameuawa na wengine wapatao 6,300 wamekimbia makaazi yao kufuatia shambulio lililofanywa katikati mwa Haiti na genge la wahalifu. Shirika la kimataifa la uhamiaji IOM limesema katika ripoti yao iliyotolewa wiki iliyopita kuwa, karibu asilimia 90 ya watu…

Yanga wapangwa na Mazembe, Hilal na Alger

Na Isri Mohamed Wawakilishi wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL ), Young Africans Sc wamepangwa Kundi A kwenye michuano hiyo sambamba na TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Al Hilal ya Sudan na MC Alger ya…

Iran yaruhusu usafiri wa anga

Mamlaka ya usafiri wa anga nchini Iran imeruhusu mashirika ya ndege kuanza kupanga ratiba ya safari zake za ndege baada ya kujiridhisha usalama wa anga upo. Kwa mujibu wa Msemaji wa mamlaka ya usafiri wa anga  amesema  safari zote za…

Simba yapangwa na CS Sfaxien, CS Costantine na Bravos makundi CAFCC

Na Isri Mohamed Droo ya makundi ya Kombe la Shirikisho barani Afrika 2024/25 imefanyika leo na klabu ya Simba imepangwa kwenye Kundi A pamoja na CS Sfaxien ya Tunisia, CS Constantine ya Algeria na Fc Bravos ya Angola. KUNDI A…

Kesi ya ‘Afande’ yakwama, haijapangiwa hakimu

Na Isri Mohamed KESI inayomkabili ‘Afande’ Fatma Kigondo, imeahirishwa kwa maelezo kuwa bado haijapangiwa hakimu wa kuisikiliza, baada ya Hakimu Kishenyi aliyekuwa anaisikiliza awali kuhamishwa. Taarifa hiyo imetolewa na Wakili Peter Madeleka wakati akizungumza na waandishi wa habari ambapo amesema…