Author: Jamhuri
Uingereza kuipatia msaada wa kijeshi Ukraine
Serikali ya Uingereza imetangaza itaipatia Ukraine msaada zaidi wa kijeshi wa kima cha dola milioni mia nne na hamsini ambazo zitatumika kununua ndege mpya zisizoendeshwa na marubani na kukarabati vifaru vya kijeshi. Hayo yalitangazwa katika mkutano ulioendeshwa na Uingereza na…
UAE inaongoza mauaji ya halaiki Sudan
Serikali ya Khartoum imeufikisha Umoja wa Falme za Kiarabu mbele ya mahakama ya ICJ, ikiishtaki kwa kuhusika katika mauaji ya kimbari dhidi ya jamii ya Masalit kwa kuwaunga mkono wanamgambo wa RSF. Sudan imeieleza Mahakama ya Kimataifa ya Haki ICJ…
USSI: Wafugaji wachangamkie fursa ya soko la ndani na nje kupitia machinjio ya kisasa Vigwaza
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Chalinze Wafugaji wa mifugo mbalimbali ,wametakiwa kuchangamkia fursa ya soko la ndani na nje ya nchi kupitia machinjio ya kisasa ya Union Meat Abattoirs Ltd, yaliyopo katika kijiji cha Kwazoka, Vigwaza, Halmashauri ya Chalinze, mkoani Pwani….
Serikali inaendelea na ukarabati wa miundombinu ya umeme -Kapinga
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma ๐ Lengo ni kuondokana na changamoto ya kukatika kwa umeme ๐ Ujenzi wa kituo cha kupokea na kupoza umeme cha Kilindi, Tanga waffikia asilimia 35. ๐Bilioni 2.63 kulipa fidia wanaopisha njia ya kusafirisha umeme Mkata-…
Lissu kortini kwa mashtaka ya uhaini na kuchapisha taarifa za uongo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa, Tundu Lissu amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kusomewa shitaka la uhaini pamoja na kuchapisha taarifa za uongo kwa lengo la kupotosha…