JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Trump ashinda uchaguzi Marekani

Mgombea wa Chama cha Republican nchini Marekani,Donald Trump ametangazwa kushinda uchaguzi wa rais wa Marekani na kuahidi kuliponya taifa hilo. Matokeo ya uchaguzi yamemuweka mgombea huyo wa Republican kifua mbele dhidi ya  mgombea wa Demokratic Kamala Harris . Akiwahutubia wafuasi…

TRC : Kusimama kwa treni ya mchongoko ni hujuma

TRC: KUSIMAMA KWA TRENI YA MCHONGOKO NI HUJUMA Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC) limeutaarifu umma kupuuza taarifa zinazosambazwa na baadhi ya watu kuhusu kusimama kwa treni za EMU, Electric Multiple Unit (mchongoko) pamoja…

Waziri Silaa mgeni rasmi mkutano wa nane wa Jukwaa la Wahariri kesho

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa anarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mkutano Mkuu wa nane wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF). Mkutano huo ambao unaanza kesho Alhamisi Novemba 07-09,…

Bei za Mafuta mwezi Novemba 2024 zaendelea kushuka

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma BEI za reja reja za mafuta kwa mwezi Novemba 2024 zimeendelea kushuka ambapo bei ya petroli kwa Dar es Salaam na Tanga imeshuka kwa asilimia 2.26 ambayo ni sawa na shilingi 68 kwa lita, huku…

DAWASA yakutana na wananchi Msakuzi kupata hatma huduma ya maji

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (DAWASA) imekutana na wananchi wa eneo la Msakuzi kwa Lubaba, Kata ya Mbezi, Wilaya ya Ubungo kwa lengo la kufahamu mipango na maendeleo ya miradi ya…

Serikali yaeleza jitihada inazochukua kuwezesha matumizi ya gesi kwenye magari

📌 Kapinga ataja msamaha wa kodi asilimia 25 kwa injini za magari yanayotumia gesi asilia iliyotolewa 2023/2024 📌 Aeleza Serikali ilivyojidhatiti kupeleka umeme kwenye maeneo yote nchini Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema kupitia Bajeti Kuu Serikali ya…