Author: Jamhuri
Israel yaendeleza mashambulizi katika mji wa Beirut
ISRAEL imeendeleza na mashambulizi yake ya makombora kwenye eneo la kusini la mji mkuu wa Lebanon, Beirut, mapema leo likiwemo eneo lililo karibu na uwanja wa ndege wa pekee wa kimataifa wa Lebanon. Israel iliendeleza na mashambulizi yake ya makombora…
Trump hatakuwa katika Ikulu ya White House kwa siku 74
Wakati Donald Trump amepata ushindi unaomrejesha Ikulu ya White House, bado si rais rasmi – na itachukua zaidi ya miezi miwili kabla ya kurejea katika Ofisi ya Oval. Makabidhiano ya madaraka ya Marekani ni tofauti sana na jinsi mambo yanavyofanyika…
Makalla ampongeza Lissu
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa (CCM-NEC), Itikadi Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla amempongeza Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu kwa kuwa muwazi kusema kuwa hawawezi kusimamisha wagombe kila kijiji, mtaa na…
Bongo Movie kugusa jamii ya saratani
Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Tasnia ya filamu nchini kupitia kampuni ya uandaji filamu ya Allan Cultural group (ACG) imedhamiria kutoa elimu ya saratani kupitia fani sanaa. Hatua hiyo imekuja mara baada ya kampuni hiyo kutangaza rasmi ujio…
Viongozi mbalimbali duniani wampongeza Trump
Viongozi mbalimbali duniani wamempongeza mgombea wa Chama cha Republican, Donald Trump alipotangazwa kuwa mshindi katika uchaguzi wa Rais wa Marekani. Miongoni mwa viongozi waliompongeza Donald Trump ni Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer ambaye amesema ataendelea kushirikiana na Marekani kwa ukaribu,…
Auawa kwa kukutwa na aliyekuwa mke wa mtu
Jeshi la Polisi Mkoani Geita linamshikilia Athumani Baseka (39), fundi seremala na mkazi wa kijiji cha Kamhanga wilayani Geita kwa tuhuma za mauaji ya Faida Lucas (34) ambaye ni mkulima na mkazi wa kijiji cha Bugalama. Tukio hilo lilitokea usiku…