Author: Jamhuri
Mazrui azindua Zanzibar Afya Week 2025
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAZIRI wa Afya Zanzibar, Nassor Mazrui amezindua Zanzibar Afya Week 2025 ambapo amesema itakuwa hatua muhimu ya mageuzi katika sekta yetu ya afya na itaendelea kudhihirisha dhamira ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar…
Kishindo cha Rais Samia mradi wa JNHPP, atimiza ndoto ya Mwalimu Nyerere
📌 Mradi wa JNHPP wakamilika rasmi, watajwa kuikomboa Tanzania kiuchumi 📌 Dkt. Biteko awapongeza waandishi wa habari kuhabarisha umma mradi wa JNHPP Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe….
Kapinga asema kipaumbele cha Serikali ni kufikisha umeme kwenye taasisi zote
📌 Taasisi 1,272 zaunganishwa na umeme Lindi 📌 Maeneo ya pembezoni mwa miji kuendelea kuguswa na miradi ya umeme Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema kipaumbele cha Serikali ni kuhakikisha Taasisi zote zinazotoa huduma za kijamii, kiuchumi na…
Dk Kikwete: Natamani Rais Samia aendelee kuliongoza taifa letu
Na Mwamvua Mwinyi, JamhiriMedia, Chalinze Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, anatamani kuona Rais Samia Suluhu Hassan akiendelea kuliongoza Taifa baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu, huku akisisitiza uchaguzi uwe wa amani na salama….
TCCIA yatembelea Mradi Mkubwa wa Biashara Afrika Mashariki EACLC, Wapongeza hatua ya maendeleo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Timu ya Kitengo Cha Uhusiano na Mawasiliano kwa Umma ya Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA), ikiongozwa na Meneja wa taasisi hiyo Bw. Matina Nkurlu, imetembelea na kujionea hatua za mwisho…