Author: Jamhuri
Rais Samia atua Mwanza kwa kishindo
Ziara ya Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan mkoani Mwanza imeanza siku ya leo na kwa umuhimu mkubwa katika kuimarisha maendeleo ya mkoa huo inatarajiwa kutoa fursa kwa wananchi kuwasilisha changamoto wanazokabiliana nazo moja…
Waziri wa afya aipongeza Shifaa kwa kuanzisha kituo cha tiba na utafiti wa saratani
Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Afya, Jenista Mhagama amezindua Kituo cha Tiba na Utafiti wa Saratani cha Shifaa na kuahidi kuwa serikali itaendelea kuongeza bajeti ya dawa za saratani kila mwaka kutokana na ongezeko kubwa la wagonjwa wa saratani. Waziri…
Barnaba, Joh Makini wanogesha Jogging ya uhamasishaji kujiandikisha Pwani
Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha “Mjitokeze kwa wingi kwenye zoezi la uandikishaji wa wapiga kura, Natarajia kuona watu sita ndani ya kila saa ili tufikie malengo yetu ya uandikishaji kwa mkoa,” amesema Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Alhaj Abubakar Kunenge. Ili…
Dk Mataragio akaribisha uwekezaji vitalu vya mafuta na gesi asilia
📌 Ni Eyasi-Wembere, Songo songo Magharibi na Mnazi Bay 📌 Jotoardhi nayo yatajwa Kongamano la Mafuta Afrika 📌 Kamishna Shirima atoa uhakika wa miundombinu ya gesi asilia Tanzania Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati Dkt. James Mataragio amewakaribisha wawekezaji…
Mnada wa kwanza wa korosho wapata mafanikio Tandahimba, Newala wakulima wamshukuru Rais Samia
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mtwara LEO Oktoba 11, 2024, historia imeandikwa katika mikoa ya kusini baada ya kufanyika mnada wa kwanza wa korosho ulioandaliwa na Chama Kikuu cha Ushirika Tandahimba na Newala (TANECU). Katika mnada huo, jumla ya tani 3,857…