Author: Jamhuri
Wiki ya AZAKI 2025 kushirikisha wadau 500 Julai Arusha
NA Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Kuelekea katika wiki ya AZAKI, Mkurugenzi Mtendaji wa FCS Justice Rutenge amewahimiza wananchi kupaza sauti zao kwa kutoa maoni yatakayopelekea kupata dira bora kwa maendeleo ya jamii na taifa kwa ujumla. Rutenge amesema hayo Dar…
Ofisi ya Msajili Hazina yaendesha mafunzo kwa kamati za bunge
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Ofisi ya Msajili wa Hazina imeendesha mafunzo kwa Kamati tatu za Kudumu za Bunge kuhusu Mageuzi, Mafanikio, Mikakati na Mwelekeo wa Ofisi hiyo. Mafunzo hayo yaliyofanyika Ijumaa, Aprili 11, 2025, Jijini Dodoma yamehusisha Wabunge wa…
Hakuna maendeleo yanayowezekana bila amani na mshikamano wa kitaifa- Dk Biteko
📌 Asisitiza uwekezaji katika elimu inayozingatia sayansi, teknolojia na ubunifu 📌 Awasihi Watanzania kuziishi falsafa za Mwl. Nyerere 📌 Chuo cha Mwl. Nyerere cha adhimisha miaka 103 ya kuzaliwa kwa Mwl. Nyerere Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa…