JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Marekani yashambulia ngome za IS Syria

Vikosi vya Marekani vimefanya mashambulizi ya anga katika maeneo kadhaa yanayotajwa kuwa ngome za kundi linalojiita dola la Kiislamu ISIS nchini Syria, kulingana na Kamandi Kuu ya jeshi la Marekani kupitia mtandao wa X. Ripoti hiyo imebainisha kuwa mashambulizi hayo…

Takribani watu 29 wauawa Gaza

TAKRIBAN watu 29 wameuawa katika mashambulizi ya anga ya Israel katika eneo la kati na kaskazini mwa Ukanda wa Gaza Jumamosi na usiku kucha, Shirika la habari la Reuters linaripoti likiwanukuu madaktari. Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) lilianza mashambulizi…

Nkuna wa Chadema afungiwa kuendesha gari

Na Mwandishi Wetu Kada wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) anayeshitakiwa kwa kosa ka kusambaza taarifa za uongo kwenye mtandao wa X kuwa ameshambuliwa na watu wasiojulikana mjini Iringa, Vitus Nkuna (29) amefungiwa leseni ya udereva kwa miezi sita. Akizungumza na…

Tamasha la Samia Fashioni Festive kuleta fursa kwa wabunifu mavazi

Na Magrethy Katengu,JamhuriMedia,Dar es salaam Wabunifu wa mavazi nchini wameshauriwa kutumia fursa zinazojitokeza kuonesha kazi zao wanazozifanya ili waweze kujulikana na kuinuka kiuchumi. Ushauri huo umetolewa jana Dar es Salaam mwanzilishi na muandaaji wa Tamasha la Samia Fashion Festival Khadija…

Hezbollah yatoa onyo kali kwa Israel kufuatia ongezeko la mashambulizi

Kundi la Hezbollah limetoa onyo kali kwa Waisraeli kuwataka wakae mbali na maeneo ya kijeshi kaskazini mwa Israel, hatua ambayo inalenga kuokoa maisha yao kutokana na mashambulizi yanayoendelea. Onyo hilo limekuja baada ya kuongezeka kwa mashambulizi ya Hezbollah katika eneo…