JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Huduma ya Kwanza: Majipu

Mwathirika wa ajali huhitaji ahudumiwe haraka, tena kwa muda mfupi, huku mipango ikiwa inafanywa hadi atakapotokea daktari au atakapopelekwa zahanati ama hospitali kwa tiba inayostahili…   Majipu (boils) hutokea ndani ya ngozi inayozunguka kitundu cha kutolea jasho mwilini, penye shina…

CCM yataka Serikali ya kibabe, udikteta

Ni ukweli usiopingika kwamba kauli zilizotolewa na viongozi waandamizi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakati wa Uchaguzi Mkuu uliopita kwamba chama hicho hakiwezi kukabidhi nchi kwa njia ya makaratasi (kura) zimethibitisha kuwa utawala wa kidemokrasia Tanzania hauna nafasi. Kauli hizo…

Rais Magufuli, matumizi ya mkaa ni janga la kitaifa (2)

Mkaa unatumika sana mijini kwa shughuli za kibiashara mfano, mama lishe, mighahawa na hoteli mbalimbali. Kusema kweli mkaa ni janga kubwa kwa misitu ya asili na ni mamilioni mengi ya miti inayokatwa kutengeneza mkaa. Inakadiriwa kuwa karibu hekta 300,000 hadi…

Hata nyegere wanaishi kwa mpangilio

Yapo mengi ambayo ningependa niwashirikishe wasomaji wa Safu hii. Wiki kadhaa zilizopita, makala yangu moja iliibua mjadala. Ilihusu Katiba mpya. Msimamo wangu si kupinga Katiba mpya, lakini bado naamini Katiba mpya pekee si suluhisho la matatizo yote yanayoikabili nchi yetu….

Idara ya Usalama ipongezwe

Kama Watanzania wataulizwa leo nini walichokuwa wakikitarajia kwa nchi yao ya uhuru na kazi, basi jibu ni moja tu kwamba tulikuwa tunataka mabadiliko ya kuachana na mabepari wachache waliohodhi mali zetu ambazo tulizipata kutokana na jasho la siasa ya Ujamaa…

Sheria inasemaje unapoua wakati ukijaribu kujilinda?

Wakati  mwingine  kujilinda  waweza  kukuita  kujitetea, kujiokoa au kujikinga.  Ni hali ambayo  mtu hufanya jitihada za kujinasua katika  tendo ovu linalotekelezwa na  mtu  mwingine  dhidi  yake.   Mfano  wake  ni  kama  kuvamiwa  na  majambazi, kutekwa, kufanyiwa  fujo  ya  aina  yoyote,…