Author: Jamhuri
‘Wandu makoko’
Huu ni usemi wa Kingoni unaotahadharisha wanadamu duniani. Una maana ya kuwa “Watu ni hatari”. Kwa lugha ya Kingoni neno ‘likoko’ ni mnyama au mdudu wa kuhatarisha sana na anaweza kumdhuru mtu wakati wowote ule. Basi kwa usemi huo kuwa…
Hili si shamba la bibi aliyekufa
Nimepata kuifananisha hali ya sasa ya mapambano ya kuijenga nchi yetu na ile ya nchi iliyo vitani. Taifa linapokuwa vitani, hasa vita hiyo inapokuwa halali, wananchi wazalendo huungana kuitetea nchi yao isitwaliwe na adui. Kwa wazalendo, ushindi ndiyo dhima yao…
Mgori: Msitu ulioachwa ‘yatima’
Awali ya yote nawapongeza Wahifadhi wote wanaoendelea kuhakikisha wanyamapori wanaendelea kuishi kwa utulivu baada ya ujangili kupungua kidogo. Nawashukuru Wahifadhi, Polisi na Mahakama kwa hatua kali walizochukua hivi karibuni huko Mbeya, Mpanda na nakadhalika kwa kuyatupa majangili jela kwa miaka…
Yah: Sitashangaa Tanzania kuwa na diwani, mbunge Mchina au Mkenya
Nimefurahi kusikia Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga, anataka kutumbua jipu hili, lakini lazima nikiri kuwa jipu hili ni gumu kutumbulika kwa sababu linahusisha watu wengi kupitia urasimu wa utoaji vibali na suala la msingi kabisa la…
Ilala uvunje urafiki na uchafu uliokithiri
Ni jambo lisilopingika kuwa Ilala ndiyo Dar es salaam, na kama kuna mtu yeyote anayepinga na ajitokeze hadharani kupinga ili tupingane kwa hoja. Pamoja na ukweli huo, bado Halmashauri ya Manispaa ya Ilala haijajitambua hata kidogo kwenye uwajibikaji katika maeneo…
Fidia unazoweza kulipwa Serikali inapotwaa ardhi yako
Kwa kawaida Serikali hutwaa maeneo. Huhamisha wahusika, wamiliki, na kuchukua eneo kwa malengo maalum yaliyokusudiwa. Yaweza kuchukuliwa nyumba yako, kiwanja, au hata shamba. Mara kadhaa Serikali hufanya hivi panapo mahitaji maalum ya shughuli za umma kama ujenzi wa miundombinu kama …