Author: Jamhuri
Kardinali Pengo, Askofu Gwajima wasamehe wenye dhambi muuone ufalme wa mbingu
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova, wiki iliyopita alitoa tangazo la kumtaka Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, kuripoti katika Kituo Kikuu cha Polisi, Dar es Salaam kutoa maelezo kuhusu tuhuma…
Bunge linaloendeshwa kwa udini ni hatari
Katika gazeti hili la JAMHURI toleo lililopita lilikuwa na habari yenye kichwa “Udini wapasua Bunge” kutokana na hali iliyojitokeza katika kikao cha Bunge siku ya Alhamisi iliyopita, ambako mgawanyiko wa kidini miongoni mwa wabunge ulijitokeza. Siku hiyo wakati akiahirisha…
Sababu za kufeli hizi hapa
Umbali mrefu kati ya shule za sekondari za kata na makazi ya wanafunzi unachangia kwa kiasi kikubwa ‘anguko’ la wanafunzi katika matokeo ya mwisho ya wahitimu wa kidato cha nne kila mwaka. Uchunguzi uliofanywa na gazeti hili kwa muda…
Je, Kinana atamweza Lazaro Nyalandu?
Mwandishi mmoja mkongwe aliwahi kuandika kuwa ukimwona mbuzi juu ya mti jua kapandishwa. Lakini pia ukimwona mbwa koko anabweka jua yuko nyumbani kwao. Si mara moja kusikia na kusoma vituko vya Waziri Lazaro Nyalandu. Madudu yake yamewekwa hadharani…
Lowassa: Ninayaweza yote katika yeye anitiaye nguvu
Hakuna ubishi kwamba minong’ono juu ya matamanio ya Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa, au kutajwa kuwania urais, imeshika kasi. Lowassa, Mbunge wa Jimbo la Monduli (CCM), amekuwa akitajwa kuwa miongoni mwa wanasiasa wenye nguvu kubwa na matamanio ya kuiongoza…
Jukumu letu ni kuboresha TPDC – Mwanda
Kutokujiamini na kushindwa kuziendesha taasisi za umma nchini kwenda sawa na wakati, kumechangia kwa kiasi kikubwa mashirika mengi kufa na kuporomoka kiuchumi. Watafiti wa masuala ya kiuchumi wanasema kujiamini na ubunifu ni nyenzo muhimu kwa pande mbili kati ya…