JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Siri ya Ugaidi

Kitendo cha nchi za Afrika Mashariki na Kati kuandaa mafunzo ya kudhibiti ugaidi, kinaelezwa kuwatia hasira kundi la al-Shaabab hadi kuvamia na kuua watu zaidi ya 150 nchini Kenya.   Jumla ya askari 300 kutoka nchi za Burundi, Rwanda, Tanzania,…

Mahakama ya Kadhi fupa gumu bungeni

Kabla ya kuwasilishwa bungeni Aprili mosi, mwaka huu muswada wa Mahakama ya Kadhi, ulipata ugumu wa aina yake kwenye semina ya wa wabunge iliyolenga kuwaongezea ufahamu juu ya uanzishwaji wa mahakama hiyo.  Hata hivyo, kile kilichotokea kwenye semina hiyo iliyofanyika…

Tanroads yafanya kweli

Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) umenunua mtambo wa kisasa wa kukagua madaraja marefu yenye maji na kurahisisha shughuli hiyo, tofauti na njia iliyokuwa ikitumika awali ya kutumia kamba iliyohatarisha maisha wataalamu. Mtambo huo wa kisasa (Bridge Inspection Vehicle) ambao umeanza…

Muuguzi Geita adaiwa kudai rushwa

Muuguzi Mfawidhi wa Hospitali ya Wilaya ya Geita (DNO), Ifigenia Chagula, analalamikiwa na baadhi ya wamiliki wa vyuo binafsi vya uuguzi na ukunga kwa kuomba rushwa kwa kushinikiza.   Hata hivyo, wamiliki hao hawajatekeleza maagizo ya Chagula ambaye sasa inadaiwa…

Tukicheza hakuna uchaguzi Oktoba

“Mheshimiwa Rais, Kenya imewachukua miaka saba kuandika Katiba yao, baada ya mvutano wa miaka 20. Je, sisi Tanzania unadhani tunaweza kuandika Katiba yetu ndani ya miaka miwili?” Hili ni swali nililomuuliza Rais Jakaya Kikwete tukiwa Ikulu, siku ya Ijumaa, Aprili…

Rais Buhari kuinusuru Nigeria

Hakuna ubishi kwamba Marekani ni taifa kubwa kwa kujiimarisha kiuchumi na kiusalama. Kadhalika, hakuna ubishi kwamba rais wa Marekani ndiye anayetafsiriwa kuwa ni kiongozi wa dunia. Hii inatokana na vyombo vikubwa vya uamuzi kama vile Umoja wa Mataifa (UN) vinaisikiliza…