Author: Jamhuri
Wizara kuwapatia maji Sengerema
Mhandisi wa Maji, Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza, Wawa Nyonyoli, ametangaza kuwa zaidi ya asilimia 50 ya wakazi wa mji huo watapata maji safi na salama ifikapo Juni, mwaka huu. Akizungumza na mwandishi wa JAMHURI mjini hapa, Mhandisi Nyonyoli anasema…
Spika amtaja rais ajaye
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai, amesema kuwa nchi kwa sasa inahitaji rais jasiri atakayeweza kuwa tayari kusimama kwa ajili ya nchi yake na watu wake. Ndugai aliyasema hayo katika mahojiano maalum na Gazeti…
Amani Tanzania inatuponyoka taratibu
Kwa muda sasa nimefuatilia matukio yanayoendelea nchini. Nimesoma habari mbalimbali zinazoonesha askari polisi wakiuawa kwa risasi na kunyang’anywa bunduki katika maeneo kadhaa hapa nchini. Tumesikia ‘magaidi’ katika mapango ya Amboni Tanga. Vituo vya…
Tusipuuze taarifa hizi
Katika moja ya habari zilizochapishwa kwenye gazeti hili ni taarifa za tishio la ugaidi zinazotolewa na moja ya makundi ya kigaidi linalojihusisha ushambuliaji. Wiki mbili zilizopita, magaidi wa al-Shabaab walifanya shambulio kubwa la kigaidi katika Chuo Kikuu cha Garisa, mpakani…
Mimi ni Mwalimu, niliingia siasa kama ajali tu
Watanzania mwaka huu wanaingia kwenye Uchaguzi Mkuu wa tatu, bila ya mwasisi wa Taifa hili, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Taarifa zinasema kwamba Nyerere alizaliwa mwezi kama huu, tarahe 13 (ya jana),…
Tumepataje amani, tunaidumishaje?
Awali ya yote napenda nichukue fursa hii kumshukuru sana Mwenyezi Mungu ambaye kwa mapenzi yake anatujaalia afya njema. Si kwamba sisi tunastahili kuliko waliokufa, bali sisi kuwapo kwetu hadi leo ni kwa rehema na neema yake tu Mwenyezi Mungu. …