JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Msimu wa pili wa mashindano ya kuogelea kitaifa yafanyika Dar

Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mashindano ya mchezo wa kuogelea kwa wale wenye mahitaji maalumu yaendeshwa kwa mara pili jijini Dar es Salaam. Mashindano hayo yalifanyika mwishoni mwa wiki iliyopita siku ya jumamosi ya oktoba 12 mwaka huu…

Rais ashiriki kilele cha mbio za mwenge

Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru 2024 kimefanyika leo, Oktoba 14, 2024, katika Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Hafla hiyo imehudhuriwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambaye alikabidhiwa Mwenge wa Uhuru na…

Rais Samia ateta na Zuhura Yunus

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongea na Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Zuhura Yunus, jijini Mwanza leo Oktoba 14,2024 kwenye maadhimisho ya kilele cha…

Tume ya Umwagiliaji yashiriki Maonesho ya Chakula Kagera

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Muleba Tume ya Taifa ya Umwagiliaji imeshiriki maonyesho ya wiki ya chakula duniani ambayo kitaifa yanaendelea Mkoani Kagera. Akifungua maonyesho hayo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera,Mkuu wa Wilaya ya Muleba Dkt Abel Nyamahanga…

Waziri Ndumbaro ahamasisha wananchi kujiandikisha daftari la wapiga kura Songea

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Damasi Ndumbaro, amehamasisha wananchi wa Manispaa ya Songea kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika daftari la wapiga kura. Dkt. Ndumbaro ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Songea mjini…

Rais Samia akipokea Mwenge wa Uhuru kwenye Kilele cha Maadhimisho Mbio za Mwenge Mwanza

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa Kiongozi wa mbio hizo Godfrey Eliakim Mzava kwenye Kilele cha Maadhimisho Mbio za Mwenge wa Uhuru katika uwanja wa CCM Kirumba Jijini…